Nimeathiriwa na muziki wa kwenye radio msaada please 🙏.

Nimeathiriwa na muziki wa kwenye radio msaada please 🙏.

Unajua kwenye radio mara nyingi nyimbo ikipigwa hairudiwi tena kwa muda huo

Kwahiyo akili yako Inahamasika kuusikiliza kwakuwa inajua burudani itayopata ni ya muda mfupi na baada ya hapo itaitoweka

Tofauti na kuwa na nyimbo kwenye simu akili inajua muda wowote inaweza kuusikiliza hiyo Ngoma kwahiyo hamasa inakuwa ndogo

All in all ubongo wako unapenda michepuko
Mie huwa natumia youtube, naplay ngoma moja kisha kazi ya kuchagua ngoma zinazofuata naiachia logarithm ya youtube.

Basi unakuta from no where inaplay ngoma ambazo nyingi zinakurudisha nyuma(memories)kwenye moments fulani.
 
Kawaida hiyo, ngoma akiwa anaplay mwingine unajikuta unainjoy, mi nikienda bar nikikuta wanapiga old skull nitakaa sana hapo , wakati ngoma zote ninazo kwenye simu/pc.
Alafu redio za online mbona zimejaa kibao, kinachokushinda kusikiliza ni kipi?
 
Asalamaleku nyote!

Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii.

Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga siufurahii lakini wimbo huo huo ukipigwa nikiwa nasikiliza radio naufurahia sana.

Hii hali inanishangaza na kunikasirisha maana miaka ya hii sisikilizi radio kama zamani hivyo hamu ya kusikiliza muziki sina.

Hebu naombeni mnipe ushauri juu ya la kufanya ili niondokane na hali hii, maana mimi ni mpenda muziki sana lakini sasa hivi Sina ashiki nao.

Cc Monetary doctor KENZY Chaliifrancisco and 100 others Dr am 4 real PhD.
Mupenziiii, unasema imekuwaje tena 😅😅😅???
 
Radio station zinatoa mziki wenye ubora wa juu ndio maana nimekupa app ambayo huwa haipotezi ubora wa mziki ukipakua ngoma
Hasa za enzi zilee ukutane na Maquiz du Zaire Makwizi Band na waimbaji WAo akina kasoroo kwanga,kyanga songa,vumbi,kawalee mutumwana wakuimbie kasongo urudie,penzi la pesa(ether)Clara,wanaume WA Leo,,,,,alaaaa
 
Unatumia app gani kusikiliza mziki kwenye simu yako?
Hapa sio suala la app. Hapa ni kuwa unaposikiliza redio mara nyingi unaotea ngoma nyingi ambazo inawezekana hujazisikiliza muda mrefu ingawa unaweza kuwa nazo kwenye simu bila kukumbuka.

Binafsi hata mimi, huwa nakutana na ngoma ambazo baadae najaribu kuzi_download ila system inanikumbusha kuwa najaribu "ku_download again" . Kumbe tayari ninazo kwenye files zangu
 
Sasa umezungumza ukweli mkuu 😃
 
Asalamaleku nyote!

Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii.

Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga siufurahii lakini wimbo huo huo ukipigwa nikiwa nasikiliza radio naufurahia sana.

Hii hali inanishangaza na kunikasirisha maana miaka ya hii sisikilizi radio kama zamani hivyo hamu ya kusikiliza muziki sina.

Hebu naombeni mnipe ushauri juu ya la kufanya ili niondokane na hali hii, maana mimi ni mpenda muziki sana lakini sasa hivi Sina ashiki nao.

Cc Monetary doctor KENZY Chaliifrancisco and 100 others Dr am 4 real PhD.
Kumbe tupo wengi,hii kitu hata mimi inaniathiri lakini kwa uzuri hakuna ubaya juu hilo,imefikia hatua nimefuta nyimbo nyingi kwenye simu
 
Asalamaleku nyote!

Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii.

Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga siufurahii lakini wimbo huo huo ukipigwa nikiwa nasikiliza radio naufurahia sana.

Hii hali inanishangaza na kunikasirisha maana miaka ya hii sisikilizi radio kama zamani hivyo hamu ya kusikiliza muziki sina.

Hebu naombeni mnipe ushauri juu ya la kufanya ili niondokane na hali hii, maana mimi ni mpenda muziki sana lakini sasa hivi Sina ashiki nao.

Cc Monetary doctor KENZY Chaliifrancisco and 100 others Dr am 4 real PhD.

Hali unayopitia ni ya kawaida sana kwa watu wengi, na inaitwa psychological association — yaani ubongo wako umeunganisha muziki wa redio na hisia fulani za furaha, nostalgia, au msisimko wa kipekee ambao haupo unapopiga muziki mwenyewe. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha hali hii:

Sababu Zinazowezekana

1. Radio huleta mshangao na ubunifu wa DJ – Kuna kitu cha kipekee kuhusu kusikia wimbo usiotarajia, pamoja na uchezaji wa DJ, matangazo, au sauti ya mtangazaji unaoipenda.

2. Radio huamsha kumbukumbu za zamani – Inawezekana redio ilikuwa sehemu ya maisha yako ya awali yenye furaha (kama kipindi cha ujana), hivyo ikawa chanzo cha furaha hiyo.

3. Radio huleta hisia ya kuwa sehemu ya jamii – Unapojua kuwa watu wengine pia wanasikiliza huo huo wimbo kwa wakati huo huo, kuna hisia ya kuunganishwa kijamii.

4. Self-play haibebi 'context' ya kisaikolojia – Unapopiga mwenyewe, hakuna mshangao, hakuna mwingiliano wa hisia mbalimbali kama kwenye redio.

Ushauri wa Kusaidia Kurejesha Hamu ya Muziki

1. Unda mazingira kama ya redio kwa kutumia apps:

Tumia apps kama Spotify Radio, Pandora, Deezer Flow, au Apple Music Radio, ambazo huchagua nyimbo kwa mfululizo bila wewe kuchagua moja kwa moja. Hii huleta element ya mshangao na "ugunduzi mpya".

2. Tumia DJ sets au mixtapes badala ya playlists za kawaida

Tafuta DJ Mixes za redio au mitandaoni (YouTube, SoundCloud) – haswa zile zilizorekodiwa kama kipindi cha redio.

3. Rudi kusikiliza redio tena mara kwa mara

Hata kama ni kwa dakika 30 tu kwa siku au kwa weekend – fanya iwe sehemu ya ratiba yako kama ritual ya kisaikolojia.

4. Tengeneza mazingira mazuri ya kusikiliza nyimbo zako mwenyewe

Badili location au vifaa unavyotumia – jaribu kusikiliza kupitia spika badala ya earphones, au wakati ukiwa unafanya jambo jingine la kupendeza (kama kuendesha gari au kutembea).

5. Tafuta podcast au vipindi vya muziki vinavyofanana na redio

Hasa vile vya watangazaji unaowapenda au genre fulani ya muziki, ili upate ule msisimko wa redio tena.

6. Tambua kuwa hii ni hali ya mpito

Mara nyingi, kupungua kwa ashiki ya kitu ni dalili ya akili kuhitaji mtazamo mpya au mazingira mapya. Jaribu muziki mpya au genre tofauti unayoisikia kwenye redio.
 
Back
Top Bottom