secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #21
Huenda na mimi nitazoea hali ya kusikiliza muziki kupitia vyanzo vingine tofauti na radio.By the way ni addiction tuu mkuu Mimi Kusikiliza radio ama TV naenda kutimiza mwaka wa 2 sasa sifurahishwi navyo kabisaa
Ndio mkuu wala sio tatizo kubwa sana ni mazoea tuuHuenda na mimi nitazoea hali ya kusikiliza muziki kupitia vyanzo vingine tofauti na radio.
Ngoja nifanye hivyo nione.Radio station zinatoa mziki wenye ubora wa juu ndio maana nimekupa app ambayo huwa haipotezi ubora wa mziki ukipakua ngoma
Kabisa, ngoja nizoeane na hali hii.Ndio mkuu wala sio tatizo kubwa sana ni mazoea tuu
Itakuwa una akili mnemba!Asalamaleku nyote!
Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii.
Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga siufurahii lakini wimbo huo huo ukipigwa nikiwa nasikiliza radio naufurahia sana.
Hii hali inanishangaza na kunikasirisha maana miaka ya hii sisikilizi radio kama zamani hivyo hamu ya kusikiliza muziki sina.
Hebu naombeni mnipe ushauri juu ya la kufanya ili niondokane na hali hii, maana mimi ni mpenda muziki sana lakini sasa hivi Sina ashiki nao.
Cc Monetary doctor KENZY Chaliifrancisco and 100 others Dr am 4 real PhD.
Mkuu una goma kabisa kumpa dogo madini?Itakuwa una akili mnemba!
Hujamuelewa mtoa mada aisee, We unadhani kuna Platform zina sound Quality nzuri kama Spotify au Boomplay?Radio station zinatoa mziki wenye ubora wa juu ndio maana nimekupa app ambayo huwa haipotezi ubora wa mziki ukipakua ngoma
Hahaha ππ€£Itakuwa una akili mnemba!
mnemba hata uupe madini vipi..!Mkuu una goma kabisa kumpa dogo madini?
Hii akili mnamba nitaishindaje?mnemba hata uupe madini vipi..!
kula njumHii akili mnamba nitaishindaje?
πππππππππHii akili mnamba nitaishindaje?
Nikajua umeathiliwa na mishangazi.Fanyeni kupitisha harambee maana hatuna bima.
Hakika lo
Hahaha πkula njum