Yeye ndo kaniumba na hizi dhambi. Wa kulaumiwa ni yeye, otherwise aziondoe ndani mwangu.Anakuchoma moto sababu ya kuishi nje ya amri alizotoa kwenye neno lake/ Biblia..
Ni mwingi wa huruma ukimrudia.. ila ukikaza fuvu ndio moto huo πββοΈπββοΈ
Kumwamini Mungu itakupasa uwe na UTU(Akili, upendo, HAKI, ukweli,)
Upendo na tamaa havikai Pamoja
Shetani anakuwinda akuangamize kuwa makiniHabari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Sasa hapo utakuwa unaamini niniKama haumuamini Mungu pia inamaanisha kuwa hauamini kuwa Shetani yupo.
Kifo Chenye matumaini ni kipi?kifo kisicho na matumaini!
Kifo Chenye matumaini ni kipi?
ndo inakuwaje? unapata faida gani?Ukifa katika kumwamini Mungu!
Swala la kumuamini Mungu au kutokumuamini ni lako wewe binadamu na halimuhusu Mungu,,,,yani hafaidiki kitu kwa kwa imani yako kwake au kutokumuamini.Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Mungu akuhurumie tu.Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Unaamini ktk uwepoSasa hapo utakuwa unaamini nini
Wacha tuitikie okay tu ni ametupa taarifa
Wewe unaamini uwepo au hauaminiUnaamini ktk uwepo
Yaani unajua kuwa wewe ni mtu na kuamini kuwa wewe ni mtu.
Suala la uliumbwa ama la linakuwa halikuhusu.
Hata hiyo inatosha mkuu, kwahiyo hizo 99 unaamini nini?Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
kwani kumwamini Mungu ndio mafanikioMind you,Mungu hana hizi standards ni wewe unataka kuziweka!
Wapo wasiomkiri Mungu na wana mafanikio mara 1,000 kukuzidi.
Wewe unaamini uwepo au hauamini
liweke vizuri swali lako
Asante.Ume kosa tu uvumilivu na kujihesabia haki; Kila la heri kwenye safari yako ya kuchanganyikiwa na mwishowe kifo kisicho na matumaini!