This logical fallacy is called non sequitur.Uwepo wa jinsia mbili wanawake na wanaume
Pia uwepo wa mboo na K.
Uwepo wa maji, Uwepo wa jua na uwepo wa lugha pia.
Kwa mbali ni kama kuna nguvu fulani iliyoweka hivo vitu, Ila kitu kinachonifanya nimpunguzie alama ni mambo yanayoendelea hapa duniani, E.g watu kufa kwa njaa, magonjwa ya ajabu kwa wasiokuwa na hatia, majanga ya asili kama tetemeko na tsunami.etc
Unaposema ajitokeze hadharani unazungumzia kwa akili ya kibinadam...hata bakteria pengine haamini kama binadamu yupo....Mungu aliyeumba vyote vilivyopo kwa ukubwa wake huwezi kumuona.The fact that an almighty God and all powerful God needs humans to speak for him and defend him, It's a prove that he doesn't exist.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe, ajitetee, na kujiongelea mwenyewe kama ana huo uwezo.
Watu na imani zaoUkishajua anayekupa maisha mpaka unaandika hapa, usingethubutu kuwaza haya,Angalia msongo wa Mawazo usije kukuletea laana, tafakari!!
Kwa maana kwamba huna Iman tena manake 1 just ndo huna Jin's tuHabari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Usikufuru Mungu unaweza kuona unapitia magumu ila kuna wengine wanapitia magumu zaid yako ila bado wanamuamini Mungu.. Ht hivo Mungu anabaki kuwa yule yule ht watu wote wasipomuaminiHabari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Mimi Mungu namuamini ila wachungaji piga ua,,, namuomba Mungu privately.Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Mkuu unajiita atheist ila unapenda sana kuushambulia ukristo.
Kwa hiyo sisi tukusaidieje hapa? Majitu mengine kama mapumbavu tu!Habari za jumapili members wa jamiiforums.
Asilimia ya kumwamini Mungu imebaki moja tu.
Bacteria wapo na wanathibitishika wapo.Unaposema ajitokeze hadharani unazungumzia kwa akili ya kibinadam...hata bakteria pengine haamini kama binadamu yupo....Mungu aliyeumba vyote vilivyopo kwa ukubwa wake huwezi kumuona.
Hajakuumba na dhambi, amekuumba msafi ukiwa huna mawaaYeye ndo kaniumba na hizi dhambi
Somehow this is true, na ndio maana akajivika ubinadamu na kuja kuchukua dhambi yako na yangu ili wewe usiangamie kweny huo moto alio uandaa kwa ajili ya lucifer na sio wewe, hakuandaa huo moto kwa ajili yako.Wa kulaumiwa ni yeye
Yes Demi he did that, msalabani Yesu alichukua dhambi zetu, you just have to pray for forgivness and leave accordingly, unataka nn tena kutoka kwake??otherwise aziondoe ndani mwangu.
Nimeenda church leo ila sielewi kabisa kinachoongelewa, nyie wajinga mnaniharibu na mitizamo yenu 😹😹😹Mimi simuamini ila nakiri kumuamini kuna faida zake(ukimuamini kwa namna fulani)
Sema kupanga ni kuchagua
wala hatukuharibunyie wajinga mnaniharibu na mitizamo yenu 😹😹😹
Mkuu naona umenielewa tofauti,,,bacteria kwa udogo wake ni ngumu kwake kudhibitisha uwepo wa binadamu,,,yeye anaweza kudhibitisha uwepo wa cells,virus labda na organ ambayo yeye inampatia mahitaji yake.Bacteria wapo na wanathibitishika wapo.
Mungu hayupo na wala huwezi kuthibitisha yupo.
Huyo Mungu ni wewe tu unahangaika kumsifia na kumwelezea hapa.Mkuu naona umenielewa tofauti,,,bacteria kwa udogo wake ni ngumu kwake kudhibitisha uwepo wa binadamu,,,yeye anaweza kudhibitisha uwepo wa cells,virus labda na organ ambayo yeye inampatia mahitaji yake.
Mungu ni mkubwa kuliko solar system,,ni ngumu sana wewe kumuona na kumtambua kwa macho yako ya kibinadamu.
Ila sehemu ninayoweza kukubaliana na wewe ni hizi dini,,Nina mashaka kama haya maandiko yote ya dini ameyasema Mungu,,,,hizi habari za kumuomba na kumshukuru,,kuwepo na pepo na moto,,Nina mashaka juu ya haya,japo nami ni mfuasi wa dini.
Ila kuwepo kwake sina mashaka na hilo.
Ndo umejua leo kuwa Mimi ni mpumbavu mbona umechelewa??!Kwa hiyo sisi tukusaidieje hapa? Majitu mengine kama mapumbavu tu!
Sina imani naye kabisaa.Kwa maana kwamba huna Iman tena manake 1 just ndo huna Jin's tu
Siogopi hata kufa Ndugu yangu, We unaogopa?Ngoja asimamishe moyo wako ndio utajua ukubwa na thamani yake...........
Kwa asilimia fulani huenda kuna nguvu zilizounda ulimwengu. Na pia hizo Nguvu zinahitaji formula fulani ili kuzifikia. Na hizo Formula huenda ni ngumu sana..This logical fallacy is called non sequitur.