Wasalaam!
Niende moja kwa moja kwenye point,mm nmeoa mwaka jana mwez wa pili na mke niliyempata Alhamdulillah ni bint mzur alielelewa katika maadilu mazur na bahat nzur nilimkuta akiwa bikra kwahyo nikalipa mahar nusu tukala mpunga ikaisha na saiv tumebahatika mtoto wetu mzur wa kiume(Alhamdulillah)
Sas kimbembe kimeanza nilipata kamchepuko hata mwez hatuna kana age km 20,mara ya kwanza kusex nae aseh nilienjoy sana toto na styl zake za doggy styl na plan yangu mm nipite na sio kueka makaz nikajikuta nmenogewa na mapenz tu na sio kueka makazi
Majuz tumekutana nikatoka kazin nikampigia cm wife nimepata dharura ya kikaz kwahy tunachomoka nje ya daslam kidg huku pemben mchepuko nmempanga tumeet leo tunalala kabisa kwel tulikutana nikachukua chumba maeneo flan hv tukalala usiku kucha namgeuza km kambale sas baada ya kupiga bao la kwanza akaniambia “leo yupo siku za kunasa mimba” sas nikaona nishamwaga ndan acha niendele tu
Bhas ikafika asbh nikamuachia hela ya kununua p2 na nyingine ya kumsaidia mm nikaoga nienda kazin nikamuacha amelala,badae ananiambia kapoteza pesa zote nikataka kumtumia tena akakataa nisitume ikabid nimuulize “kwahy hiyo mimba ikiingia itakuaje” akanijib”atampa boy wake”
Sas nmebaki njia panda sijui nifanyaje na mm kiukwel binti sijavutiwa nae bali nilihitaj tu kampan ya kupoozana hii kitu hapo mwanzo nilimchana na jana kaniambia hii mimba hainihusu tena anampa boy wake
Na mm upande wangu nahofia ndoa yangu isije ikaingia mikwaruzano na nmeishi na mke wangu kwa aman sana
Hapo sielewe nichukue uamuz gn kuhusu hilo