Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

Nimebaki njia panda, sijui huyu mchepuko ana plan gani!

Mkuu kwa uzoef wangu madem bikra weng hawanaga utundu xx ukitoka tu nje na kukutana na wakuifinyia kwa ndani ndoa unaisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaa kafinywa na mchepuko na kapewa utundu wa pipi kifua..

But bado sio sababu ya kuchepuka, anatakiwa amfunze mkewe hayo mambo ili awe anamfanyia jamaa, au anataka mke wake akajifunze huko nje hayo ma utundu ndo aje amletee yeye!
 
Allah Akbar
Unajisifia na zinaa ..... Muogope Allah

Mpende mkeo muishi kwa furaha hakika utajuta baadaye usipoacha hiyo tabia

ww nan kajisifia na zinaa!!mbon mnapenda san kujifanya nyie ndio mamuft wa kutoa ibada...!!
 
Back
Top Bottom