gehaz makoga
New Member
- Feb 12, 2014
- 1
- 8
Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000
Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu namuuliza dereva wa bolt hapa anasema na yeye anashangaa kwa siku kama 3 unakuta anampeleka abiria sehemu ya elfu 3 akifika inasoma elfu 5 na zaidi je hili suala lipoje wadau