AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hio blowjob utapiga mpaka lini?Nmmambo magumu mkuu
Hio blowjob utapiga mpaka lini?Nmmambo magumu mkuu
MamaminaSalio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 50,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
Kishungi ni nini?Oya zima kwanza hicho kishungi
Kuna siku tu request mimi na marafiki zangu ilikua bajaji k/koo mpka coco beach dereva akasema tu cancel ila tutamlipa pungufu ya nauli sijawahi hata kuelewa ilikuajeKwan kutingisha dishi inawezekana siku hizi?.
Zaman walikuwa ukirequest, Wakishakupakia wanaweka fright mode. Alaf wanatoa wakikaribia destination. Kwahiyo network inayumba na inazidisha bei.
Ila nasikia wali sort hili.
Labda kuna namna nyingne imefahamika sikuhizi.
Alaf huyo dereva anajua . ni yeye ndio kafanya huo mchezo . 😎😎😎😎
Cuba bro.
Unateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 50,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
Mpaka urudi bongo!Hio blowjob utapiga mpaka lini?
Kuna kutingisha dish.Hiyo michezo ya uber, bolt labda ukosee destination mwenyewe au u add trip!
Hicho unachokipiga mate kwenye avatar wewe unakula kaya kweli au unatuigizia?Kishungi ni nini?
Kumbe! Haijawahi kunikuta hii, ntatukana mpaka nipelekwe polisi🫢Kuna kutingisha dish.
Ilikuwepo hii Shemej. Labda kuna mbinu mpya wamegundua
Naigiza mkuu, vipi unazo uniletee?Hicho unachokipiga mate kwenye avatar wewe unakula kaya kweli au unatuigizia?
Hapa alizima app.Kuna siku tu request mimi na marafiki zangu ilikua bajaji k/koo mpka coco beach dereva akasema tu cancel ila tutamlipa pungufu ya nauli sijawahi hata kuelewa ilikuaje
Ukifika kipengele cha kuchangia figo nishtueUnateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..
Hatujui lini au wapi tutaugua.
Changia ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMCkupitia HaloPesa Lipa namba 23758475 urudishiwe makato yako. Piga *150*88# chagua 5 kisha 1 au Tumia HaloPesa App.
Dereva anakuambia. Mamaa hebu soma risiti yako. Unilipe na malalamiko waambie Bolt😂😂😂Kumbe! Haijawahi kunikuta hii, ntatukana mpaka nipelekwe polisi🫢
Naomba hiyo namba ya halotel, tuunganishe nafsi.Unateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..
Hatujui lini au wapi tutaugua.
Changia ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMCkupitia HaloPesa Lipa namba 23758475 urudishiwe makato yako. Piga *150*88# chagua 5 kisha 1 au Tumia HaloPesa App.
Dereva ana Offer yaku multiply bei 😜😂Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000
Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu namuuliza dereva wa bolt hapa anasema na yeye anashangaa kwa siku kama 3 unakuta anampeleka abiria sehemu ya elfu 3 akifika inasoma elfu 5 na zaidi je hili suala lipoje wadau
Unataka stick ngapi? Halafu nyie si ndio wale doria mtandaoni mliosambazwa na DCEANaigiza mkuu, vipi unazo uniletee?
UmemsanukiaUnataka stick ngapi? Halafu nyie si ndio wale doria mtandaoni mliosambazwa na DCEA
Nipe nikae nayo kabisa kabisa unaweza usiwe active!Ukifika kipengele cha kuchangia figo nishtue
DCEA doria mtandaoni jilengeshe unaseUmemsanukia
Aiseee!! Ntamlipa tu ilaa🫢Dereva anakuambia. Mamaa. Hebo soma risiti yako. Unilipe na malalamiko waambie Bolt😂😂😂