gehaz makoga
New Member
- Feb 12, 2014
- 1
- 8
Nunua usafiri wako ili uepukane na mausumbufu yasiyo ya lazima.Inakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000
Kwani bolt wanashida gani na siku zote naenda kwa nauli hyo hyo ikipanda sana kabda sehemu za foleninzile delay ndogondogo ikiongezeka ni buku au jero je hili swali inakuwaje hii leo naiona mara ya 3 kwangu namuuliza dereva wa bolt hapa anasema na yeye anashangaa kwa siku kama 3 unakuta anampeleka abiria sehemu ya elfu 3 akifika inasoma elfu 5 na zaidi je hili suala lipoje wadau
Mnunulie basi wagambire stupid😎Nunua usafiri wako ili uepukane na mausumbufu yasiyo ya lazima.
Wagambire stupid maana yake nini.Mnunulie basi wagambire stupid😎
Nauli ya kumtoa alipo na nauli ya kukupeleka anapokwenda ukijumlisha inasoma 6000, hongera sana kwa safariInakuaje nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000
Mnunulie basi wagambire stupid😎
Bagambire uko uraya!Wagambire stupid maana yake nini.
Unatema nyongoMnunulie basi wagambire stupid😎
Hiyo michezo ya uber, bolt labda ukosee destination mwenyewe au u add trip!shemej angu kabisa.
inawezekana dereva katingisha dish.
Au alishuka sehem akanunua kitu. Na jamaa aka add destination.
Kuads destination pia inaongeza bei.
Ila mara 2 . Mmmh parefu
mambo magumu mkuuUnatema nyongo
Oya zima kwanza hicho kishungiBagambire uko uraya!
Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 50,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVzBagambire uko uraya!