Nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000

Kuna siku tu request mimi na marafiki zangu ilikua bajaji k/koo mpka coco beach dereva akasema tu cancel ila tutamlipa pungufu ya nauli sijawahi hata kuelewa ilikuaje
 
Salio halijatosha? Jiunge na BUSTISHA kukamilisha miamala yako ya mpaka Tsh 50,000.00. Bonyeza 1 kujisajili na kukubali vigezo na masharti: https://bit.ly/3VhCnVz
Unateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..

Hatujui lini au wapi tutaugua.
Changia ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMCkupitia HaloPesa Lipa namba 23758475 urudishiwe makato yako. Piga *150*88# chagua 5 kisha 1 au Tumia HaloPesa App.
 
Kuna siku tu request mimi na marafiki zangu ilikua bajaji k/koo mpka coco beach dereva akasema tu cancel ila tutamlipa pungufu ya nauli sijawahi hata kuelewa ilikuaje
Hapa alizima app.

Itakuta bajaj na acces ya app sio yake.
kwahiyo anataka anayemiliki bajaj au access asijue trip ngap kapiga. Ili ampige hela kwenye mahesabu.
 
Unateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..

Hatujui lini au wapi tutaugua.
Changia ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMCkupitia HaloPesa Lipa namba 23758475 urudishiwe makato yako. Piga *150*88# chagua 5 kisha 1 au Tumia HaloPesa App.
Ukifika kipengele cha kuchangia figo nishtue
 
Unateseka shemeji yangu! Haya ishi humu..

Hatujui lini au wapi tutaugua.
Changia ujenzi wa Taasisi ya Moyo KCMCkupitia HaloPesa Lipa namba 23758475 urudishiwe makato yako. Piga *150*88# chagua 5 kisha 1 au Tumia HaloPesa App.
Naomba hiyo namba ya halotel, tuunganishe nafsi.
 
Dereva ana Offer yaku multiply bei 😜😂

Wasiliana na Bolt watachunguza alafu wataku refund.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…