Nimebolt nauli inasoma 2500 nafika sehemu ya kushuka nauli inasoma 6000

Inawezekana dereva alianzisha safari kabla haujapanda, lakini kwasasa tangu kupanda kwa mafuta bei za bolt zimekuwa haieleweki madereva wanalalamika na abiria wanalalamika pia,Cha muhimu ukiwa una bolt hakikisha unakuwa na pesa ya ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…