Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
1,659
Reaction score
734
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.

Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili ni zari la mentali au ndio wazingiaji tu mitandaoni?

Mtoo anasema kwao ni matajiri wao wanamiiliki factory hivyo niende nitakuwa nafanya kazi huko kwenye factory yao.

Alivyoniahidi eti anasema atanilipia na kunisaidia kupata viza na kunitumia tiketi ya ndege ya kwenda CANADA mm nitafute passport tu.

Ndio nikaona nije kwenu wataalamu na wajuvi katika kijiwe chetu hiki cha jamii forum.je nianze mchakato wa kutafuta passport au ndio naenda kutolewa maini na viungo vya ndani kuliwa nyama?

Karibuni kwa maoni naruhusu pia ukiwa na ushauri ambao ni confidential nitumie inbobo.
Asanteni sana michango na maoni yenu
 
Mkuu kama nitaenda kwa ushirikiano wa balozi zao na zetu kuna ubaya? Maana mm najiamini nina elimu ya juu ya master?
Unajiamini halafu unaomba ushauri juu ya jambo la kuamua tuuu 😂😂
 
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani km vile tagged.tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.

Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili ni zari la mentali au ndio wazingiaji tu mitandaoni?

Mtoo anasema kwao ni matajiri wao wanamiiliki factory hivyo niende nitakuwa nafanya kazi huko kwenye factory yao.

Alivyoniahidi eti anasema atanilipia na kunisaidia kupata viza na kunitumia tiketi ya ndege ya kwenda CANADA mm nitafute passport tu.

Ndio nikaona nije kwenu wataalamu na wajuvi katika kijiwe chetu hiki cha jamii forum.je nianze mchakato wa kutafuta passport au ndio naenda kutolewa maini na viungo vya ndani kuliwa nyama?

Karibuni kwa maoni naruhusu pia ukiwa na ushauri ambao ni confidential nitumie inbobo.
Asanteni sana michango na maoni yenu

Wasiliana na FaizaFoxy maana yupo canada ili amfanyie vetting huyo Bi mdashi mzungu.
 
Back
Top Bottom