Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Matapeli hao, punguani wewe....bila chaka ni Facebook, wengi wao ni wanaigeria...muda wowote wataanza kukutengenezea mazingira ya kukupiga hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Matapeli hao, punguani wewe....bila chaka ni Facebook, wengi wao ni wanaigeria...muda wowote wataanza kukutengenezea mazingira ya kukupiga hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mhn mitusi tena shekheee.lkn poa poa tu mtaalamu hakuta tabu .asnate kwa hilo
 
Maisha sometimes ni kujitoa mhanga tu,maana hata Tz kama ni wa kufa utakufa tu
 
dume ilo, tena lipo Nigeria

anakutatua rinda kisha anaondoka na Figo
 
Chonde Chonde wasije wakakukula tako hilo ukaleta connection mpya mjini
 
Wapopo hao,mwisho utaambiwa tuma bank acc a No ya kadi
Then unaliwa kimaisiara
 
Usijidanganya. Anaweza kuwa askari wa kiume mstaafu kutoka jeshi la ulinzi la Nigeria nyuma ya keyboard!
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani km vile tagged.tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.

Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili ni zari la mentali au ndio wazingiaji tu mitandaoni?

Mtoo anasema kwao ni matajiri wao wanamiiliki factory hivyo niende nitakuwa nafanya kazi huko kwenye factory yao.

Alivyoniahidi eti anasema atanilipia na kunisaidia kupata viza na kunitumia tiketi ya ndege ya kwenda CANADA mm nitafute passport tu.

Ndio nikaona nije kwenu wataalamu na wajuvi katika kijiwe chetu hiki cha jamii forum.je nianze mchakato wa kutafuta passport au ndio naenda kutolewa maini na viungo vya ndani kuliwa nyama?

Karibuni kwa maoni naruhusu pia ukiwa na ushauri ambao ni confidential nitumie inbobo.
Asanteni sana michango na maoni yenu
 
Back
Top Bottom