Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Hivi viungo kuvitoa mwilini si nimpaka umpime mtu?

Kama ndo hivyo kwanini wasichukue viungo vya watu huko walipo?

Mkuu we shughulikia Hilo swala ilimradi usitoe hata cent 1 yako kwakua kashasema kwao ni matajiri
 
Nenda naye taratibu uone kama kweli atakutafutia viza.
 
Bado sijapata mawazo ya kunitajirisha hapa mengi ni ya kukatisha tamaa.ni bora .muje na michango ya kuwakomesha hawa matapeli ili tuwatie adabu.yupo mmoja humu aliniambia nimwambie aje yeye kwanza then tuondoke wote .mwengine kasema nishirikishe ubalozi wao na wangu hata nikienda najua nipo chini ya ulinzi wa nchi
 
Utapeli wa design hiii ni wakitambo sana
Toka enzi za yahoo messenger 😂😂

Huyo ni tapeli moja kwa moja hakuna mtu online akwambie sisi ni matajiri nyumbani na infos kama hizo kama hana motives zake.

Huyo ni jamaa flani mnaijeri... tapeli wa online!!

Kama mna date online seriously natumai mtakuwa mshaongea sana kwa video call iwe WhatsApp, skype etc. Na namba mmebadilishana??? Kama stage hii ameiruka ameenda direct kwenye masuala ya kukutumia ticket ,visa huyo ni tapeli tu!!
 
Mkuu hatupeana namba za simu.kaja tu direct kwenye visa na ajira ktk factoty ya familia .
 
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.

Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili ni zari la mentali au ndio wazingiaji tu mitandaoni?

Mtoo anasema kwao ni matajiri wao wanamiiliki factory hivyo niende nitakuwa nafanya kazi huko kwenye factory yao.

Alivyoniahidi eti anasema atanilipia na kunisaidia kupata viza na kunitumia tiketi ya ndege ya kwenda CANADA mm nitafute passport tu.

Ndio nikaona nije kwenu wataalamu na wajuvi katika kijiwe chetu hiki cha jamii forum.je nianze mchakato wa kutafuta passport au ndio naenda kutolewa maini na viungo vya ndani kuliwa nyama?

Karibuni kwa maoni naruhusu pia ukiwa na ushauri ambao ni confidential nitumie inbobo.
Asanteni sana michango na maoni yenu

Kuwa makini sana na hao watu. Mwenzio nilimpata mmoja akidai kuwa baba yake alikuwa Waziri huko Sierra Leone na aliuawa kwenye vita na kuacha hela nyingi kwenye mabenki Ulaya. Nikaombwa nitoe akaunti namba yangu ili mtoto afanye mitikasi mzigo uingizwe kwenye akaunti yangu halafu yeye aje huku Bongo tuanzishe maisha. Nikapigiwa hadi simu na mzungu aliyejifanya ni meneja wa hiyo benki Ulaya na kuniomba nifanye hima ili nimsaidie yule binti. Machale yakanicheza nikawatumia akaunti yangu ambayo haikuwa na muamala nia yao ovu ikagonga mwamba.
 
Canada kuna watu zaidi ya million 300 sasa kama wote ni wanawake nenda utakua umepata kama kuna wanaume na hawana mvuto nenda

Mwisho wa siku mubaguliwe na wazungu kumbe ujinga wenu tu
 
Mwambie unahitaji support unaogopa ndege

Aje ili upate mtu wa kumkumbatia angani kutoa presha [emoji23][emoji23]

Umeshawahi mpigia video call??
 
Canada kuna watu zaidi ya million 300 sasa kama wote ni wanawake nenda utakua umepata kama kuna wanaume na hawana mvuto nenda

Mwisho wa siku mubaguliwe na wazungu kumbe ujinga wenu tu
Mkuu wazungu sio waoaji kule kwao.wanakuja ku9a africa na sisi akina OSCAR OSCAR tunaenda kuoa huko america na Canada .wanawake kule wamekata tamaa ya kuolewa maana wapo weeeengiiii mnooooo.mpk inafika mahali wananunua sex toys yaani MPIPI wa kutengeneza .au wanafuga mbwa na kuwa kama ndio mwanaume ndani ya nyumba akihudumia nyapi za kizungu.haha
 
Back
Top Bottom