Nimebutua maisha je, Nimepata au nimepatikana?

Matapeli hao, punguani wewe....bila chaka ni Facebook, wengi wao ni wanaigeria...muda wowote wataanza kukutengenezea mazingira ya kukupiga hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mhn mitusi tena shekheee.lkn poa poa tu mtaalamu hakuta tabu .asnate kwa hilo
 
Maisha sometimes ni kujitoa mhanga tu,maana hata Tz kama ni wa kufa utakufa tu
 
dume ilo, tena lipo Nigeria

anakutatua rinda kisha anaondoka na Figo
 
Chonde Chonde wasije wakakukula tako hilo ukaleta connection mpya mjini
 
Wapopo hao,mwisho utaambiwa tuma bank acc a No ya kadi
Then unaliwa kimaisiara
 
Usijidanganya. Anaweza kuwa askari wa kiume mstaafu kutoka jeshi la ulinzi la Nigeria nyuma ya keyboard!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…