jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Hakuna cha tahadhari huyu anakwenda kuliwa ti.goMambo mengne jifunze kufanya kimya kimya huku ukichukua tahadhari ya hali ya juu
Mkuu hatupeana namba za simu.kaja tu direct kwenye visa na ajira ktk factoty ya familia .Utapeli wa design hiii ni wakitambo sana
Toka enzi za yahoo messenger 😂😂
Huyo ni tapeli moja kwa moja hakuna mtu online akwambie sisi ni matajiri nyumbani na infos kama hizo kama hana motives zake.
Huyo ni jamaa flani mnaijeri... tapeli wa online!!
Kama mna date online seriously natumai mtakuwa mshaongea sana kwa video call iwe WhatsApp, skype etc. Na namba mmebadilishana??? Kama stage hii ameiruka ameenda direct kwenye masuala ya kukutumia ticket ,visa huyo ni tapeli tu!!
Una elimu ya juu ya master alafu unatuimba ushauri sisi standard 7BMkuu kama nitaenda kwa ushirikiano wa balozi zao na zetu kuna ubaya? Maana mm najiamini nina elimu ya juu ya master?
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.
Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya kumjibu ndio nikaanza kupokea mualiko kwamba eti huyu demu anataka mm niende kwao nikaishi nayeye je hili ni zari la mentali au ndio wazingiaji tu mitandaoni?
Mtoo anasema kwao ni matajiri wao wanamiiliki factory hivyo niende nitakuwa nafanya kazi huko kwenye factory yao.
Alivyoniahidi eti anasema atanilipia na kunisaidia kupata viza na kunitumia tiketi ya ndege ya kwenda CANADA mm nitafute passport tu.
Ndio nikaona nije kwenu wataalamu na wajuvi katika kijiwe chetu hiki cha jamii forum.je nianze mchakato wa kutafuta passport au ndio naenda kutolewa maini na viungo vya ndani kuliwa nyama?
Karibuni kwa maoni naruhusu pia ukiwa na ushauri ambao ni confidential nitumie inbobo.
Asanteni sana michango na maoni yenu
100% scammers .....ni matapeliMkuu hatupeana namba za simu.kaja tu direct kwenye visa na ajira ktk factoty ya familia .
Masters na bado unapenda slope kiasi hicho?,baada ya mda tunaomba mrejeshoMkuu kama nitaenda kwa ushirikiano wa balozi zao na zetu kuna ubaya? Maana mm najiamini nina elimu ya juu ya master?
Mkuu wazungu sio waoaji kule kwao.wanakuja ku9a africa na sisi akina OSCAR OSCAR tunaenda kuoa huko america na Canada .wanawake kule wamekata tamaa ya kuolewa maana wapo weeeengiiii mnooooo.mpk inafika mahali wananunua sex toys yaani MPIPI wa kutengeneza .au wanafuga mbwa na kuwa kama ndio mwanaume ndani ya nyumba akihudumia nyapi za kizungu.hahaCanada kuna watu zaidi ya million 300 sasa kama wote ni wanawake nenda utakua umepata kama kuna wanaume na hawana mvuto nenda
Mwisho wa siku mubaguliwe na wazungu kumbe ujinga wenu tu