LellozWho
Member
- Jul 13, 2021
- 89
- 122
Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya:
SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30
UJINGA WANGU UPO HAPA
- Umeme usio wa uhakika
- Maji yasio ya uhakika
- Elimu ya kusuasua
- Huduma bora ya afya kwa matabaka
- Miundombinu ya wasiwasi
- Ahadi za uongo kwa viongozi nk.
SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30
- Nimepata nafasi ya kupiga kura
- Kutathmini maisha yangu ya badae
- Kujivunia uzalendo.
UJINGA WANGU UPO HAPA
- Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yale yale ya miaka ileile kwa maisha ya baadae.
- Natupia lawama serikale ile ile niliyoipa dhamana
- Lakini nchi fulani wanarusha Roketi
- Wanarahisisha maisha kwa teknolojia
- Huduma ya afya bila tabaka
- Miundombinu lukuki
- Elimu ya kutimiza ndoto zao
- Taifa lao la kesho linamatumaini