Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yaleyale

LellozWho

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
89
Reaction score
122
Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya:
  • Umeme usio wa uhakika
  • Maji yasio ya uhakika
  • Elimu ya kusuasua
  • Huduma bora ya afya kwa matabaka
  • Miundombinu ya wasiwasi
  • Ahadi za uongo kwa viongozi nk.

SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30
  • Nimepata nafasi ya kupiga kura
  • Kutathmini maisha yangu ya badae
  • Kujivunia uzalendo.
Nk.

UJINGA WANGU UPO HAPA
  • Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yale yale ya miaka ileile kwa maisha ya baadae.
  • Natupia lawama serikale ile ile niliyoipa dhamana
👇🏾
  • Lakini nchi fulani wanarusha Roketi
  • Wanarahisisha maisha kwa teknolojia
  • Huduma ya afya bila tabaka
  • Miundombinu lukuki
  • Elimu ya kutimiza ndoto zao
  • Taifa lao la kesho linamatumaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…