Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 #1 Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale, ufaulu wake, n.k Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi Dar Combination nimechaguliwa kusoma PCM Natanguliza shukurani Karibuni wajibu Funny boe
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale, ufaulu wake, n.k Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi Dar Combination nimechaguliwa kusoma PCM Natanguliza shukurani Karibuni wajibu Funny boe
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,204 Jun 11, 2023 #2 Hakikisha unapoenda shule unaenda kusoma. Mengine yatajisumbikia yenyewe kadili ya maisha Yako pale
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #3 fullcup said: Hakikisha unapoenda shule unaenda kusoma. Mengine yatajisumbikia yenyewe kadili ya maisha Yako pale Click to expand... Umeeleweka mkuu
fullcup said: Hakikisha unapoenda shule unaenda kusoma. Mengine yatajisumbikia yenyewe kadili ya maisha Yako pale Click to expand... Umeeleweka mkuu
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jun 11, 2023 #4 Safi mwanangu pambania kombe
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 11, 2023 #5 Jiandae kupata demu Jangwani girls...
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #6 Watu8 said: Jiandae kupata demu Jangwani girls... Click to expand... Hawasumbui maana napenda pia 😂😂😂
Watu8 said: Jiandae kupata demu Jangwani girls... Click to expand... Hawasumbui maana napenda pia 😂😂😂
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #7 Lumbi9 said: Safi mwanangu pambania kombe Click to expand... Pakoje hapo?
Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,869 Reaction score 14,501 Jun 11, 2023 #8 Acha kujiita boe, Dar sio watu
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Jun 11, 2023 #9 Huku JF umepawahi sana. Ulipaswa uje baada ya Form Six.
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #10 Mr mutuu said: Acha kujiita boe, dar sio watu Click to expand... 😂😂😂 Kiaje mkuu?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jun 11, 2023 #11 Funny boe said: Pakoje hapo? Click to expand... Dar Pako poa, azania Pako poa maana ni town kabisa, mradi tu utulize wenge ukifika
Funny boe said: Pakoje hapo? Click to expand... Dar Pako poa, azania Pako poa maana ni town kabisa, mradi tu utulize wenge ukifika
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #12 Dr Restart said: Huku umepawahi sana. Ulipaswa uje baada ya Form Six. Click to expand... Sikupenda piaaa, nimepelekwa tu
Dr Restart said: Huku umepawahi sana. Ulipaswa uje baada ya Form Six. Click to expand... Sikupenda piaaa, nimepelekwa tu
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Jun 11, 2023 #13 Mr mutuu said: Acha kujiita boe, dar sio watu Click to expand... Muache aje, tutampambania
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #14 Lumbi9 said: Dar Pako poa, azania Pako poa maana ni town kabisa, mradi tu utulize wenge ukifika Click to expand... Pamoja mkuu
Lumbi9 said: Dar Pako poa, azania Pako poa maana ni town kabisa, mradi tu utulize wenge ukifika Click to expand... Pamoja mkuu
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 Jun 11, 2023 #15 Funny boe said: Sikupenda piaaa, nimepelekwa tu Click to expand... Namaanisha huku JF.
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #16 Katkit said: Muache aje, tutampambania Click to expand... Kiaje mkuu
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Jun 11, 2023 #17 Funny boe said: Pamoja mkuu Click to expand... Utafikia wapi hapa Dar
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Jun 11, 2023 Thread starter #18 Dr Restart said: Namaanisha huku JF. Click to expand... Hahaha kwanini?
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Jun 11, 2023 #19 Njoo, tukaruke kitambaa cheupe.
Mtu_imara JF-Expert Member Joined Jan 7, 2023 Posts 221 Reaction score 336 Jun 11, 2023 #20 Azania ilikua zamani