Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio km umezitakaa, unaenda hata kwa lazima km cut points umefikishaa.ndio, ila kama umezitaka. Azania Niliichagua mwenyewe though it was accidentally
Kuwa mkweli bhana, 1.7 afu grade comb n 4, lazima uende special school, mwanzoni sikuelewa nlijua una 1 ya 17.mmmh! Sa mbona sikupelekwa? Nina 1.7 na points 4 kwenye comb
Sioni haja ya kusema uongo wala sipati faida yoyote. Maybe unataka evidence gani ili uamini nisemacho?Kuwa mkweli bhana, 1.7 afu grade comb n 4, lazima uende special school, mwanzoni sikuelewa nlijua una 1 ya 17.
Wee acha kutupiga kamba hapaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sawaaa, kakaze buti.Sioni haja ya kusema uongo wala sipati faida yoyote. Maybe unataka evidence gani ili uamini nisemacho?
Azania hostel zipo....na wamejenga zingne mpya nyingSipo kubishana najua nachokiongea , nimesoma moja ya shule tajwa hapo hivyo kama kanielewa atayafanyia kazi ila kama atakuwa mbishi ataenda atajiona na atakuja kukiri siku moja kwa kupitia huu huu uzi
Asante .
Hahaha dah naona ngumu japo form 4 nimetoka na points 4
Dar, Mungu akusaidie. hivi jf kumbe kuna watoto wadogo kiasi hiki. piga shule dogo.Kama kichwa cha uzi kinavyosema, mimi nimemaliza form four mwaka jana hivyo form five selections zimetoka na nimechaguliwa kwenda Azania sec
Hivyo najua humu kuna watu wanaishi hapo karibu au wamesomea pale naomba mnipe hali ya maisha ya pale, ufaulu wake, n.k
Natokea mikoani na itakuwa mara yangu ya kwanza kuishi Dar
Combination nimechaguliwa kusoma PCM
Natanguliza shukurani
Karibuni wajibu
Funny boe