Nimechaguliwa kujiunga na chuo kozi ya bachelor degree in digital content and broadcasting engineering ila siielewi

BB_DANGOTE

Senior Member
Joined
Sep 25, 2023
Posts
167
Reaction score
148
Wakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na division one point 8
 
Hizi huwa sizielewi? Ulifikaje hapo,? Hukuichsgua? Imetokea bahati mbaya?au, ulichsgua kitu usichokijua?
Nilifanya maamuzi ya kusoma uhandisi, nikiwa darasa LA Sita! Sikujali situation huko secondary,(tuliosoma kayumba, tunaelewa)
And that is what happened
 
Iyoo ulikuwa nimeongezea ili nikamilishe koz Tano. Ko ulikuwa ni ya mwisho
 
Kuhusu transfer angalia katika prospectus ya TCU

Na kuhusu mkopo ukihama chuo na mkopo unahamishwa .

Soma kitu ambacho utaweza kujiajiri na kuajiriwa usikulupuke na kufata mkumbo.
 
Ni kwel ...but am still thinking kama nikiisoma nitafanya nn baada ya kumaliza.....
 
Kuhusu transfer angalia katika prospectus ya TCU

Na kuhusu mkopo ukihama chuo na mkopo unahamishwa .

Soma kitu ambacho utaweza kujiajiri na kuajiriwa usikulupuke na kufata mkumbo.
Kasome mbona hiyo kozi ni nzuri... Baadae ndo unakuwa sound engineer,visual,graphics na maswala mbalimbali ya media... Azam TV tunaye mganda anakula 13million per month ... Hiyo computer engineering unayotaka haina tofauti na IT au Computer science.... Wote mnaomba KAZI moja
 
Back
Top Bottom