BB_DANGOTE
Senior Member
- Sep 25, 2023
- 167
- 148
- Thread starter
- #21
Kwann nisiiache?Usiiache hio kozi wewe acha kua ndezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann nisiiache?Usiiache hio kozi wewe acha kua ndezi
Google ujue faida zake unajua vingine ni kujifunza mwenyewe si lazima ufundishweKwann nisiiache?
Hiyo Kozi ni nzuri kwa namna ya soko lilivyo sasa mkuu.Wakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na division one point 8
Ni kwelKasome mbona hiyo kozi ni nzuri... Baadae ndo unakuwa sound engineer,visual,graphics na maswala mbalimbali ya media... Azam TV tunaye mganda anakula 13million per month ... Hiyo computer engineering unayotaka haina tofauti na IT au Computer science.... Wote mnaomba KAZI moja
Nenda kasome kozi nzuri acha undezi dogo usifuate mkumbo wa computer engineering uishie kua fundi simuNi kwel
Achana na bachelor chagua ndoaWakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na division one point 8
Hiyo ndio inakwenda kukupa shavu ukimaliza degree yako!Iyoo ulikuwa nimeongezea ili nikamilishe koz Tano. Ko ulikuwa ni ya mwisho
Nimemwambia pia soko la ajira la sasa hivi huyo jamaa anahitajika sana..kampuni nyingi sana zinahitaji watu wa dizain yakeHiyo Kozi ni nzuri kwa namna ya soko lilivyo sasa mkuu.
Ajira azitabiriki hivyo haitokupa njaaa.
Pili mabenki wanatafuta watu kama hiyo course ilivyo.
Barua ya admission letter?Kuhusu gharama za transfer ni bure unachobidi kuwa nacho ni barua ya Admission letter barua ya udahili
Ni kwel mkuuHiyo ndio inakwenda kukupa shavu ukimaliza degree yako!
Bonge la kozi hiyo. Sometime vile ambavyo unaona huvipendi au huvielewi ndio vinaenda kukupa shavu la kimaisha.
Dunia ya sasa hivi inahitaji watu kama nyie.
NAKUMBUKA ENZI NASIKILIZA MPIRA KUPITIA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) WATANGAZAJI KINA AHMED WALIKUWA WANAWATAJA MAFUNDI MITAMBO CRISPIN LUGONGO, JUMA KENGELE, N.K.Tofauti. Zingatia hii "Broadcasting Engineering".
Unaenda kuwa mhandisi wa mitambo ya vyombo vya utangazaji kama redio, television, n.k. Pia utakuwa msimamizi wa kuhariri maudhui ya mtandaoni au kidigitali. Hivyo wewe utatumika na vyombo vya habari vya redio na television, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, na makampuni ya simu.Wakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na division one point 8
sio kwa tanzania hii. nilisoma kozi moja nikiwa ndo intake ya kwanza. tulikuwa watu 34, mwaka wa kwanza wakadisco 5 wengine wakaacha tukabaki kama 26 hivi.Usikariri maisha unajua hiyo kozi ni bonge la kozi alafu watalaam wake ni wachache sokoni! Dunia ya sasa inawahitaji hawa watu! Msipende kukimbilia hizi popular kozi ambazo usaili wa mtu 1 wanaitwa 1000/= tafuta kozi ambayo usaili wa mtu 1 wanaitwa 4
Pia naamini hata Jamii Forums wanatoa ajira za watu wa kozi hiyo. Soma hiyo dogo itakutoa kwa haraka kuliko hata computer engineering ambayo kozi zake wapo wengi sana na baadhi kozi zake zinapatikana pia kwenye programmes zingine kama computer science, cyber security, electrical and electronics engineering, n.kUnaenda kuwa mhandisi wa mitambo ya vyombo vya utangazaji kama redio, television, n.k. Pia utakuwa msimamizi wa kuhariri maudhui ya mtandaoni au kidigitali. Hivyo wewe utatumika na vyombo vya habari vya redio na television, Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, na makampuni ya simu.
Sawa mkuuDogo soma hiyo kozi, computer engineering kwa sasa sio hot. Kikubwa ukiingia kusoma jiongeze uwe expert zaidi, usikalili notice