BB_DANGOTE
Senior Member
- Sep 25, 2023
- 167
- 148
Hizi huwa sizielewi? Ulifikaje hapo,? Hukuichsgua? Imetokea bahati mbaya?au, ulichsgua kitu usichokijua?Wakubwa naomba msaada juu ya ii kozi nimesha confirm...but kama Kuna uwezekano wa kufanya transfer naomba mnisaidie kujua cost za kuf Anya transfer ya koz niende computer engineering..,.matokeo na division one point 8
Iyoo ulikuwa nimeongezea ili nikamilishe koz Tano. Ko ulikuwa ni ya mwishoHizi huwa sizielewi? Ulifikaje hapo,? Hukuichsgua? Imetokea bahati mbaya?au, ulichsgua kitu usichokijua?
Nilifanya maamuzi ya kusoma uhandisi, nikiwa darasa LA Sita! Sikujali situation huko secondary,(tuliosoma kayumba, tunaelewa)
And that is what happened
Sawa mkuu🤝Usikariri maisha unajua hiyo kozi ni bonge la kozi alafu watalaam wake ni wachache sokoni! Dunia ya sasa inawahitaji hawa watu! Msipende kukimbilia hizi popular kozi ambazo usaili wa mtu 1 wanaitwa 1000/= tafuta kozi ambayo usaili wa mtu 1 wanaitwa 4
UDOMChuo gani?
Iyoo ipo but ni tofauti na hii ya digital content and broadcastingNajiuliza je hio ni Bachelor of science in Multimedia technology and animation ambayo ilikuwa CIVE UDOM. AU NI MPYA ?
Tofauti. Zingatia hii "Broadcasting Engineering".Najiuliza je hio ni Bachelor of science in Multimedia technology and animation ambayo ilikuwa CIVE UDOM. AU NI MPYA ?
Ni kwel ...but am still thinking kama nikiisoma nitafanya nn baada ya kumaliza.....Kuhusu transfer angalia katika prospectus ya TCU
Na kuhusu mkopo ukihama chuo na mkopo unahamishwa .
Soma kitu ambacho utaweza kujiajiri na kuajiriwa usikulupuke na kufata mkumbo.
Kasome mbona hiyo kozi ni nzuri... Baadae ndo unakuwa sound engineer,visual,graphics na maswala mbalimbali ya media... Azam TV tunaye mganda anakula 13million per month ... Hiyo computer engineering unayotaka haina tofauti na IT au Computer science.... Wote mnaomba KAZI mojaKuhusu transfer angalia katika prospectus ya TCU
Na kuhusu mkopo ukihama chuo na mkopo unahamishwa .
Soma kitu ambacho utaweza kujiajiri na kuajiriwa usikulupuke na kufata mkumbo.
Ni kwel ...but am still thinking kama nikiisoma nitafanya nn baada ya kumaliza.....
Usiiache hio kozi wewe acha kua ndeziIyoo ulikuwa nimeongezea ili nikamilishe koz Tano. Ko ulikuwa ni ya mwisho
SawaKweli -jaribu kuingia google au chart GPT ufanye kuichambua hiyo kozi ujue inahusiana na nini
Dogo acha wenge unavuta bange? Kozi nzuri hio unataka kuiacha?Ni kwel ...but am still thinking kama nikiisoma nitafanya nn baada ya kumaliza.....