Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

Andaa madawa na kadi ya clinic
 
Nachojua mpka unaenda kuupata udaktari utaunguza si chini ya m 30
 
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.

Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.

Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.

Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?

Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?
niandae kufanya mitihani wiki 2+
 
Ni kozi ngumu haswaa, ikichangizwa ugumu na Saitoli [emoji23][emoji23]
Mzee mzee mkali Saitori umempata wapi huyu
Mwamba wa Internal medicine,Anatomy&physiology sema hana utani ukizingua anakula kichwa chapu.
 
Jiandae kuwa clinical officer fake, daktari feki maana utahonga ili ufaulu mitihani na uhonge pia kupata kazi, na utapokea hongo ili utibu matibabu feki, na utatoa matokeo feki, pia mtu akifa utasema hajafa maan hata vipimo vya uhai vitakuwa feki
 
Utatuulia wagonjwa wewe badala ya kusoma wewe unahonga ili upate grade nzuri
Kama umehonga ili upate nafasi ya kusoma maana yake utahonga tena ili ufaulishwe mtihani mwisho unatoka na GPA nzuri na ukiajiriwa na ukapangiwa huko Tamisemi ambapo wewe ndio kila kitu kituo kinakutegemea kufanya maamuzi ya mwisho UNAISHIA KUUA WAGONJWA
 
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.

Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.

Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.

Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?

Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?
Ukifika na kuanza masomo, hakikisha unaelewa unachofundishwa, soma kwa bidii.
Kila kozi inafundishwa ili wanafunzi wapate uelewa, na pia wafaulu. Huendi chuoni ili usifaulu, hivyo ondoa mawazo yasiyo na tija.
 
Wapi nimehonga mmm
Kama una usahaulifu wa kiasi hiki, basi jitathmini unachoenda kusoma, maana ni mwili wa binadamu katika hali yake ya kawaida, na inapokuwa imedhurika, tena ujue imedhurika na nini na nini cha kufanya ili kurudi katika hali yake ya kawaida. Mwili wenyewe una sehemu maelfu.
Kwa kukukumbusha, ulisema katika mchakato wa kuomba nafasi chuoni, ulihonga honga.
Tabia hiyo ni mbaya, kwa kuwa umeshaianza na unaamini imekusaidia kuliko hata kiasi cha ufaulu wako wa kidato cha nne, maana hata hukutaja kuwa wamekuchukua kwa ufaulu husika bali kwa kuhonga honga, kuna uwezekano ukatumia njia ya hongo kununua ufaulu, matokeo yake utakuja kuua binadamu wenzako.
Ni angalizo tu.
 
Mzee mzee mkali Saitori umempata wapi huyu
Mwamba wa Internal medicine,Anatomy&physiology sema hana utani ukizingua anakula kichwa chapu.
Usiombe uingie anga zake aisee, sema mwaka huu hajabana sana.
 
nenda kapige shule mkumbuke sana mungu kama kuna watu waliwez naamin pia na ww utaweza,,,elimu aim-bagui mtu mwenye utayari wa kufanya jambo,fungua moyo kijana.
 
Kama unatisshwa na kozi ya clinic medicine sasa itakuwaje ukitisshwa na ile Medical Doctor si utapata presha kabisa?
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.

Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.

Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.

Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?

Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?
 
Kama unatisshwa na kozi ya clinic medicine sasa itakuwaje ukitisshwa na ile Medical Doctor si utapata presha kabisa?
Nipe mbinu mkuu vitu gani nifanye kama maandalizi ya kiakili kabla ya kuingiaa masomoni
 
Kama una usahaulifu wa kiasi hiki, basi jitathmini unachoenda kusoma, maana ni mwili wa binadamu katika hali yake ya kawaida, na inapokuwa imedhurika, tena ujue imedhurika na nini na nini cha kufanya ili kurudi katika hali yake ya kawaida. Mwili wenyewe una sehemu maelfu.
Kwa kukukumbusha, ulisema katika mchakato wa kuomba nafasi chuoni, ulihonga honga.
Tabia hiyo ni mbaya, kwa kuwa umeshaianza na unaamini imekusaidia kuliko hata kiasi cha ufaulu wako wa kidato cha nne, maana hata hukutaja kuwa wamekuchukua kwa ufaulu husika bali kwa kuhonga honga, kuna uwezekano ukatumia njia ya hongo kununua ufaulu, matokeo yake utakuja kuua binadamu wenzako.
Ni angalizo tu.
Mkuu credit zangu zinaruhusu kabisa kusoma ila competition ni kubwa sana sio kwamba credit haziniruhusu hapana.

It's all about competition
 
Nani anakutisha?Mkuu hakuna kisichowezekana katika maisha.Wewe Tayari ni MD unachohitaji ni kukamilisha utaratibu.SOMA kwa Bidii
Asante sana mkuu,napenda sana kuwa daktari,sasa hv napanga tu nikienda MD nispecialize kwenye nini hapa ndo napanga mana kwa molari nlonayo hapa mazee naiona kabisa G.P.A YA 4.5
 
Same to me.. nmechaguliwa clinical medicine but government
 
Back
Top Bottom