Baba Nla
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 772
- 2,505
Kwan marks ni siri, kama ni C ni C haibadilik ukiweka hadharaniMfate inbb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan marks ni siri, kama ni C ni C haibadilik ukiweka hadharaniMfate inbb
Asante sana mkuu,napenda sana kuwa daktari,sasa hv napanga tu nikienda MD nispecialize kwenye nini hapa ndo napanga mana kwa molari nlonayo hapa mazee naiona kabisa G.P.A YA 4.5
PCB point 8 yaan CCBKwan marks ni siri, kama ni C ni C haibadilik ukiweka hadharani
Ni kwel kila kitu Ni nia tuu utakifanya kwa moyo woteNenda kapambana chochote kinawezekana ukiwa na nia
FactNimesimamia sana madogo wa Clinical Medicine kwenye paper zao na nimefundisha kdg, kitu ambacho nimekigundua muda wa hiyo shule ni mdogo sana na mambo ni mengi mno, hivyo huwa wanafeli sana kwasababu mitihani inatoka NACTE na wanatunga kweli kweli, na kumbuka paper la NACTE unapiga kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu na mwaka wowote unaweza kukamatwa, ila mwaka hatari zaid ni mwaka wa kwanza hawa huwa wanakamatwa vilivyo kwasababu ya ulimbuken wa kuitwa madaktari wanajikuta wanapoteza muda kupiga picha na kushinda social networks wanakuja kushtuka paper hili hapa na wanaliwa kichwa.
Kifupi mkuu nenda kakaze, hakikisha unaelewa vema modules, na usiwe mvivu kwenda wodin.
Kila la kheri
Sio GPA 3.5 tu ili uwe na uhakika zaid wa kusoma MD nilazima uwe na GPA ya kuanzia 4.0....! Sasa ww kalete ubishoo uishie kuwa COWakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea.
Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika sehemu mbalimbali hasa mahotelini kwa muda usiopungua mwaka.
Mwanaka jana nikasema naenda kutimiza ndoto yangu nikahonga honga nikapata chuo private,nimecjaguliwa kusoma clinical medicine ambayo nimefuatilia nimeambiwa nikikomaa na GPA ya 3.5 naweza kusoma MD moja kwa moja.
Sasa je wakuu nijiandae vipi ili nifaulu ?
Maana natishwa naambiwa ni kozi nguvu hasa kwa mm niloishia form four bora ingekuwa japo form six,ikoje hii wakubwa ?
Nijiandae vipi ili kozi isiwe mogumu kwangu mwadau wangu ?
Kaka umenipa jambo kwamba first year nikomae hasa nisipuuze kabisa,nfatanya hivyo nitahakikisha napambana naelewa vitu nilivyofundishwa.Nimesimamia sana madogo wa Clinical Medicine kwenye paper zao na nimefundisha kdg, kitu ambacho nimekigundua muda wa hiyo shule ni mdogo sana na mambo ni mengi mno, hivyo huwa wanafeli sana kwasababu mitihani inatoka NACTE na wanatunga kweli kweli, na kumbuka paper la NACTE unapiga kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu na mwaka wowote unaweza kukamatwa, ila mwaka hatari zaid ni mwaka wa kwanza hawa huwa wanakamatwa vilivyo kwasababu ya ulimbuken wa kuitwa madaktari wanajikuta wanapoteza muda kupiga picha na kushinda social networks wanakuja kushtuka paper hili hapa na wanaliwa kichwa.
Kifupi mkuu nenda kakaze, hakikisha unaelewa vema modules, na usiwe mvivu kwenda wodin.
Kila la kheri
Kaka kwenye daftar langu la malengo yangu ya baadae nimeandika kuwa nataka g.p.a ya 4.5 clinic officer kuna ndugu yangu kaliona hili daftari kacheka saana akaniambia ninafanya masiara kweli na g.p.a hiyo na c.oSio GPA 3.5 tu ili uwe na uhakika zaid wa kusoma MD nilazima uwe na GPA ya kuanzia 4.0....! Sasa ww kalete ubishoo uishie kuwa CO
Dr Saitoli laizer mtu mbadi sana yaani anaroho moja mbaya sana anaweza kuja kusimamia paper wote mkapgwa sup na disco nyingi tu alafu akasepaSaitori ndo nani mkuu naomba fununu kdg
wewe dogo acha ujinga kuandika lengo kwenye daftari sio ndo kupata hyo GPA wewe kasome uache makundi na ujitaidi kuwa na nidham kwa malecture hapo utaenda poaKaka kwenye daftar langu la malengo yangu ya baadae nimeandika kuwa nataka g.p.a ya 4.5 clinic officer kuna ndugu yangu kaliona hili daftari kacheka saana akaniambia ninafanya masiara kweli na g.p.a hiyo na c.o
Ila nimemuambia kaka mm nitakomaa haswa na sitokubali ipite siku ama iipite module sijasoma na kuelewa,bado ananicheka sana sasa sijui kama haiwezekani au nn
Mnasemaga tu mkifika chuo mnakuwa vilaza mda wote mnawazaga mademu nakujiona mshakuwa madaktari bingwa acha mbwebwe kijana...shule haitaj kujinad jfKaka kwenye daftar langu la malengo yangu ya baadae nimeandika kuwa nataka g.p.a ya 4.5 clinic officer kuna ndugu yangu kaliona hili daftari kacheka saana akaniambia ninafanya masiara kweli na g.p.a hiyo na c.o
Ila nimemuambia kaka mm nitakomaa haswa na sitokubali ipite siku ama iipite module sijasoma na kuelewa,bado ananicheka sana sasa sijui kama haiwezekani au nn
Kazana Muombe Mungu..hamna kinachoshindikana chini ya juaKaka kwenye daftar langu la malengo yangu ya baadae nimeandika kuwa nataka g.p.a ya 4.5 clinic officer kuna ndugu yangu kaliona hili daftari kacheka saana akaniambia ninafanya masiara kweli na g.p.a hiyo na c.o
Ila nimemuambia kaka mm nitakomaa haswa na sitokubali ipite siku ama iipite module sijasoma na kuelewa,bado ananicheka sana sasa sijui kama haiwezekani au nn
Aa mbwembwe gan kaka,mm sinaga hizo habari kabisa kaka,nina mke na nimejizatiti katika kila hali kuhakikisha nafanikisha jambo langu,ninachoshukuru mm sio mtu wa madem kiivo,nimefanya kazi sehemu mbalimbali zenye mchanganyiko wa wanawake na wanaume kwa zaidi ya miaka minne sikuwa na mahusiano na wanawake zaidi ya mkewangu mpendwaMnasemaga tu mkifika chuo mnakuwa vilaza mda wote mnawazaga mademu nakujiona mshakuwa madaktari bingwa acha mbwebwe kijana...shule haitaj kujinad jf
Kaka sante sana kaka,kawaida yangu huwa naandika malengo katika daftariila sawa.je unaposema niache makundi una maanisha makundi gani kaka ?wewe dogo acha ujinga kuandika lengo kwenye daftari sio ndo kupata hyo GPA wewe kasome uache makundi na ujitaidi kuwa na nidham kwa malecture hapo utaenda poa
Asante sana darebeca,ubarikiwe nina hamu yakuwa daktari bingwa mtaalamu,mpole mstaarabu ninaependa kazi yangu.je naweza kutafuta knowledge mbali na yale ninayofundushwa chuo ?