Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

Asante sana dadaangu,kama hutojali unaweza kunielekeza tovuti ambazo za uhakika kupata knowledge kuhusiana na kozi yangu hiyo?
Na je kuna vitabu vyovyote vya kusoma labda kwa wakati huu ambavyo vinaweza kunilainisha kuelewa masomo vzuri ?
Kuhus kujisomea hilo halinashida kabisa majitaidi kwa kadri ya hali yangu
 
Ulimhonga nani?
 
Wewe Jamaa Mimi Sijasoma Course Yako Ya CO ila Nimesoma Nursing&Midwifery.

Naomba Nikuambie Kitu au Nikushauri.

Kwenye Hizi Course za AFYA kuna Kitu kinaitwa NTA 4, 5, 6 Means Mwaka 1, 2, 3

Kuna Module Hili ni Somo...Kuna session Hizi ni Topics zinakuwaga Fupi Fupi

Kuna Kitu kinautwa Semester(Muhula) Hadu mwaka wa 3 kuna jumla ya semester 6..

Kila Semester ina Module zake na Ukimaliza na Ukifikia Average ya chuo au Ya Nacte 50 unakuwa umwpita Hiyo semester na Hautasoma tena Hizo module unaingia Semester Nyingine..

Kwa Rev Curriculum sasa mwaka Wa kwanza na Pili GPA Kubwa ni 4 na mwaka wa 3 GPA ni 5.

Japo Jingine Mitihani ya mwisho wa kila mwaka Inasimamiwa na Wizara NACTE na inaenda kusahihishwa Nje.ila ya semester ya kwanza inasahihishwa chuo.


Viti Vya kukupumbusha.


1..HUKU unaweza kusoma Sana na mwingine Akasoma wiki kabla ya mtihani Akafaulu Hivyo usidhani ukiwa John kisomo ndo utakuwa na Ma GPA

2..Wanafunzi wengi wa Course za Afya wanakaza sana Msuli wiki moja au mbil kabla ya mtihani nje na Hapo ila misuli ya advance kiukweli wewe jamaa huku Haipo kabisa.

3..Pia kina Notice za Wizara mara nyingi Hizi ndo Tunakomaa nazo kusoma nje na hizo ni kuongeza uelewa ila sio kufaulu.

4.Clinical Area (Hospital)ni sehemu ya kujifunza kwa vitendo na kuna mitihani itabidi ufanye kadri ya miaka inavyooenda na Unajua Procedure japo Nyie Ma Co mnafanyaga Mitihani mingi tofauti na sisi Manesi.

5.Jambo la kukumbusha Punguza kuwa na Kiwewe relax mkuu...shule ya Huku haiyaki mbwebwe na Kusoma Sio kuwa Daktari kuna Process nyinginne Ndefu tu ya kuja kuwa Daktari MD nahisi ma CO wanaelewa Nje na GPA uliyonayo...
 
Kusoma nje ya box ni muhimu ila baada ya kuhakikisha yaliyopo kwenye module unaelewa vizuri yote tena mstari kwa mstari nacte wanataka uelewe na ukariri walichoandika kwenye guide yao hivyo itabidi muda mwingi uwe busy sana kusoma ndo utatoboa,kusoma mpaka nje ya box kunakuongezea uelewa na notes za guide ya nacte zinakuwa rahisi tu
 
Nacte huwa hawatoi notes ila wanatoa muongozo wa notes yaan summary tu hvyo nje ya box itakusaidia sana
 
Hakuna kitu kigumu kama ukiweka bidii. usiangalie Nani anasema nini? fanya kile moyo wako umenuia kikubwa kukaza buti walioweza wamewezaje? ukiamua utafanikisha aliyejuu akusimamiee..
 
Asipokuelewa hapa atakua tayari ameshafeli .kitu nilichogundua kwa mtoa mada ana wenge halafu na kaulimbukeni anatakiwa ataulie akapige shule aache mbwembwe.
 
Huu uzi umefika wapi ,mrejesho tafadhari ,2024 @lelulelu_said
mkuu maisha ni kuamua tu,nimemaliza clinical medicine nimepata GPA ya kiume ya 3.3 kwa sasa mimi ni C.O ninayeweza kutibu vyema.
Haya maisha ukitaka lako jipe muda na fuata unachotaka utafanikiwa tu.
 
mkuu maisha ni kuamua tu,nimemaliza clinical medicine nimepata GPA ya kiume ya 3.3 kwa sasa mimi ni C.O ninayeweza kutibu vyema.
Haya maisha ukitaka lako jipe muda na fuata unachotaka utafanikiwa tu.
Kwasasa GPA uliyopata italusumbua sana mbeleni kama utataka kujiendeleza.

NB:Hongera kwa kuhitimu
 
mkuu maisha ni kuamua tu,nimemaliza clinical medicine nimepata GPA ya kiume ya 3.3 kwa sasa mimi ni C.O ninayeweza kutibu vyema.
Haya maisha ukitaka lako jipe muda na fuata unachotaka utafanikiwa tu.
Hongera sanaa
Naomba namba zako mkuu kuna jambo nahitaji tuongee ,🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…