mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora mara kumi kuzidi wao ila kitu kingine ni hii GPA yangu ya above 4.5 ambao wenzangu walikuwa viGPA vyao tu aisee
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.