mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
Watunza mafaili 😄VAR CHECK
Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu...www.jamiiforums.com
Wewe Jamaa unaonekana ni Mshamba sana na Pimbi mno halafu umepata Fedha ukubwani.Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora mara kumi kuzidi wao ila kitu kingine ni hii GPA yangu ya above 4.5 ambao wenzangu walikuwa viGPA vyao tu aisee
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.
Possible Red cardVAR CHECK
Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu...www.jamiiforums.com
cc Evelyn Salt Hannah Joanah
Jamaa ni bonge la andazi huyu hivi anatuchukuliaje sisi humu mabofongo?VAR CHECK
Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5
Rasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu...www.jamiiforums.com
cc Evelyn Salt Hannah Joanah
Soma vizuri huyu dogo yupo hapo Kivule Mazizini anachunga MBUZIWewe Jamaa unaonekana ni Mshamba sana na Pimbi mno halafu umepata Fedha ukubwani.
Video assistant referee 😂VAR CHECK
Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...www.jamiiforums.com
cc Evelyn Salt Hannah Joanah
Huyo mbona ni I'D Yako mwenyewe unadhani member hatujui?Wewe Jamaa unaonekana ni Mshamba sana na Pimbi mno halafu umepata Fedha ukubwani.
Umesema kweli mkuu, Jamaa ni jinga kweli , ukiangalia nyuzi zake zote ni utumbo mtupuJamaa ni bonge la andazi huyu hivi anatuchukuliaje sisi humu mabofongo?
Aya tumekusikia...TUMA SALAMUU KWA WATU WATATU..Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora mara kumi kuzidi wao ila kitu kingine ni hii GPA yangu ya above 4.5 ambao wenzangu walikuwa viGPA vyao tu aisee
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.
Dogo kichwa kibovu kabisaUmesema kweli mkuu, Jamaa ni jinga kweli , ukiangalia nyuzi zake zote ni utumbo mtupu
Kimarekani kama hawajakulipa $$ wamekupiga.Hey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora mara kumi kuzidi wao ila kitu kingine ni hii GPA yangu ya above 4.5 ambao wenzangu walikuwa viGPA vyao tu aisee
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.
Hahahaha mkunga wa jadiVAR CHECK
Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu. Nilipoingia darasa la sita, familia...www.jamiiforums.com
cc Evelyn Salt Hannah Joanah
DuhHey kipanga wenu hapa huku yues nimefanikiwa kuwa mfanyakazi bora kwenye kampuni yetu nimefanikiwa kuchukua Tuzo ya all year performance trophy winner niliokuwa nashinda nao nimewagaragaza kupita kiasi na wenyewe mwishoni wali surrender wenyewe wakaishia njiani na wakakiri mimi bora tena ni bora mara kumi kuzidi wao ila kitu kingine ni hii GPA yangu ya above 4.5 ambao wenzangu walikuwa viGPA vyao tu aisee
Mimi ni bora na nitabakia kuwa bora na nitazidi kuwa bora kuliko wengine aisee
Mkunga wa jadi, Madison Wisconsin hapa.