land conquer
Member
- Jul 18, 2021
- 5
- 9
MuhimbiliHabari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University
Naomben ushauri niende kusoma course gani
Kampala usiende ...Habari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University
Naomben ushauri niende kusoma course gani
Vipi Bungando pharmacyKampala usiende ...
Wapo vizuriVip bungando pharmacy
Zote nzuri lakini... pharmacy ni nzuri zaidi.Habari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University
Naomben ushauri niende kusoma course gani
Kampala magumashi wajanja wajanja sana .... Aende popote sio kamapalaZote nzuri lakini... pharmacy ni nzuri zaidi.
Bora aende Muhimbili ada ni ya kawaida na hakuna kuongezea hela kuliko huko BugandoZote nzuri lakini... pharmacy ni nzuri zaidi.
NendaBora aende muhimbil ada niyakawaida na hakuna kuongezea ela kuliko uko bugando
Aende muhimbil alaf aombe kubadilish kuingia pharmacy kam ataona issue nikusom pharmacy
Pharmacy Bugando 5.5MHabari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University
Naomben ushauri niende kusoma course gani
Kama ana kuanzia 1.3 mpaka 1.7 watakubali yeye kuhamia pharmacy, kama Sio hivyo asipoteze MudaNenda
Aende muhimbil alaf aombe kubadilish kuingia pharmacy kam ataona issue nikusom pharmacy
UnaJudge kwa kuangalia Ada?Bora aende Muhimbili ada ni ya kawaida na hakuna kuongezea hela kuliko huko Bugando
Nafasi zikiwa hamna za kuhamia, atahamia wapi? HahahaNenda
Aende muhimbil alaf aombe kubadilish kuingia pharmacy kam ataona issue nikusom pharmacy
Nakushauri nenda Pharmacy Bugando...(Lakini zingatia Ada kama una uwezo wa kuongezea, maana Ada ni around M 4...na Bodi inatoa Mkopo na kuacha umalizie sehemu kama Milioni 2 hivi au 1+ ndo utatakiwa kuongezea)...so, jiangalie...shauriana na Wazazi walezi kuhusiana na hilo.Habari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?