Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba popote atakapoenda yupo kwenye 'right track"Nakushauri nenda Pharmacy Bugando...(Lakini zingatia Ada kama una uwezo wa kuongezea, maana Ada ni around M 4...na Bodi inatoa Mkopo na kuacha umalizie sehemu kama Milioni 2 hivi au 1+ ndo utatakiwa kuongezea)...so, jiangalie...shauriana na Wazazi walezi kuhusiana na hilo.
Ikiwa Changamoto ni Hela kutoka kwa walezi...Nenda Muhas Lab...ni kozi nzuri sana pia...na Ada Muhas ni ndogo around Milion 1.5 hivi...inalipwa na Bodi yote.
Popote kati ya hizo utakapoenda, upo kwenye "Right track"...
(ila my Priority ya kwanza nzuri ni Pharm, ya pili Lab)
Hongera kwa kuchaguliwa Kozi nzuri.
Usimdanganye mwenzio.Najua utadharau ushauri wangu lakini nakusihi wende VETA utakuja kunishukuru baadae
Kama wazazi wapo vizuri mfukoni nenda Pharmacy Bugando, kwani ni kozi nzuri kuliko hiyo ya Medical. Ada unaiona hapo juu na mkopo hutolewa max 3.1 M hivyo jipange kuongezea 2.4 M kwa mwaka.Pharmacy Bugando 5.5M
Medical Lab Muhimbili 1.5M kama ni medical lab in immunology ni 1.7, haya kazi ni kwako
Popote kati ya hizo alizozipata...Yupo sahihi kabisa 100%.Kwamba popote atakapoenda yupo kwenye 'right track"
hahahah poa , endeleeni kumjaza upepo
Sawa ngoja nionekane muongo tutakutana atakapomaliza chuoUsimdanganye mwenzio.
Mleta mada, usijaribu hata kuangalia maneno ya huyu jamaa.
And i believe una akili, ndo amaana ukapata huo ufaulu na ukachaguliwa hizo kozi.
Nakuhakikishia hujui unachoongea ila umekariri. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa jibu languPopote kati ya hizo alizozipata...Yupo sahihi kabisa 100%.
Najua ninachoongea[emoji23].
Ona aibu kumpotosha mtoto wa Mtanzania mwenzio.Sawa ngoja nionekane muongo tutakutana atakapomaliza chuo
Kama unataka elimu nenda muhas na cuhas na kama unataka GPA nzuri nenda kampalaHabari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
[emoji23][emoji23][emoji23] hujanikwaza ndugu yangu[emoji23]....embu mchagulie mtoto kati ya kozi alizopata.Nakuhakikishia hujui unachoongea ila umekariri. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa jibu langu
Wewe ndiye uone aibu kwa sababu unamwaminisha vitu vya uongo ambavyo vitamfanya ajute baadayeOna aibu kumpotosha mtoto wa Mtanzania mwenzio.
Tena mtoto aliyeweka bidii kwenye Elimu.
Mwambie umemaliza mwaka gani na umeajiriwa wapi na ikibidi weka uthibitisho kabisa ili usimpotoshe mwenzio akajuta baadae[emoji23][emoji23][emoji23] hujanikwaza ndugu yangu[emoji23]....embu mchagulie mtoto kati ya kozi alizopata.
Nikuambie tu kitu, mimi nina fani mojawapo ya hizo Kozi alizochaguliwa.
[emoji23]Mkuu, embu angalia na wachagiaji wengine juu...wote tumemshauri, unaona tumeongea vibaya?Wewe ndiye uone aibu kwa sababu unamwaminisha vitu vya uongo ambavyo vitamfanya ajute baadaye
Hamjaongea vibaya lakini mimi ushauri wangu umeegemea kwa kuangalia soko la ajira jinsi lilivyo ndio maana nakupinga. Hizo kozi zote mbili soko lake la ajira kwa sasa limeshakuwa gumu sasa unapomhakikishia kwamba atapomaliza atapata ajira kwa 100% huoni kama unampoteza?[emoji23]Mkuu, embu angalia na wachagiaji wengine juu...wote tumemshauri, unaona tumeongea vibaya?
Mimi hata angekuwa mwanangu, ningempa haya maelezo.
Mkuu, kweli ajira kwa sasa zinapungua.Hamjaongea vibaya lakini mimi ushauri wangu umeegemea kwa kuangalia soko la ajira jinsi lilivyo ndio maana nakupinga. Hizo kozi zote mbili soko lake la ajira kwa sasa limeshakuwa gumu sasa unapomhakikishia kwamba atapomaliza atapata ajira kwa 100% huoni kama unampoteza?
Sekta ya afya inahusisha kada tofauti tofauti kwahiyo ungekuwa unajua ni kada ipi inaajirika kwa sana usingemshauri kwenda kusomea pharmacy au medical lab kwa sababu ataishia kusota mtaani maana kwa upande wa afya wanaoajirika sana sana ni MD, wataalam wa kinywa na meno, wauguzi na watabibuMkuu, kweli ajira kwa sasa zinapungua.
Lakini Sekta ya Afya bado ina nafasi za ajira nyingi kulinganisha na Sekta zingine.
Fuata huu ushaur kigezo Cha uchumi ni muhimu, unaweza kupenda coz flan mwisho wake usiimalize. Na hyo 3.1 no kwa asilimia 100. Sema inategemea umeppta asilimia ngpi.Kama wazazi wapo vizuri mfukoni nenda Pharmacy Bugando, kwani ni kozi nzuri kuliko hiyo ya Medical. Ada unaiona hapo juu na mkopo hutolewa max 3.1 M hivyo jipange kuongezea 2.4 M kwa mwaka.
Ikiwa wazazi wako ni kama wangu, hawapo vizuri nenda Medical kwasababu hata ukiipenda vipi kozi kama mfuko hauruhusu hutamaliza. Angalia hizo nam,ba hapo juu kwa makini sana na shauriana na familia yako kwa maamuzi ya mwisho. Alamsik!
[emoji3516]Hamjaongea vibaya lakini mimi ushauri wangu umeegemea kwa kuangalia soko la ajira jinsi lilivyo ndio maana nakupinga. Hizo kozi zote mbili soko lake la ajira kwa sasa limeshakuwa gumu sasa unapomhakikishia kwamba atapomaliza atapata ajira kwa 100% huoni kama unampoteza?
Pharmacy ni kozi nzuri sana, hata salary yake inaanzia 1.2M ila kwasasa ajira zake zimeanza kuwa adimu sana.Vipi Bungando pharmacy