Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma degree ya bei nafuu. Utashangaa ukiingia kazini,mtu wa medical lab ana enjoy kazi kwani kila mara semina ,safari na posho nyingi kuliko mfamasia ambaye hata tu kwenye ajira za serikali wanaajiriwa wachache sana kwa kuwa kazi zao zinafanywa na hata medical attendants.Habari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?