Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hawa mambwa ndo wanatutukanisha wanaume wengi sababu ya uhayawani wao.Mungu tusaidie wanawake, huyu ni mume wa mtu. Mke naye ana amani, anajivunia ’mume’!
Nimeongea ukweli, nitabadilika baada ya spana hizi, nimejua kweli nakoseaHawa mambwa ndo wanatutukanisha wanaume wengi sababu ya uhayawani wao.
Mke yuko period badala upate mapumziko akimaliza mparamiane vizuri, unahangaika na malaya. Sijui ataifaidije ya mkewe akimaliza period.
Nimegundua nimefanya makosa makubwa sana, nitajirekebisha, nampenda sana mke wangu. Uzuri Jana na Leo nimeepuka ushetani , sitaki TenaMungu tusaidie wanawake, huyu ni mume wa mtu. Mke naye ana amani, anajivunia ’mume’!
Nimekosea ,Ili nimeongea ukweli, na hivi napiga mitungiSasa big ishu za mke wako kuwa period huku za nini? Kuna vitu funga mdomo go ahead love na ushirikiano kati yenu ni utajiri tosha, kavu na maneno ya chuki tambua vitakupotosha.
wewe makamasi toka huko na usingle mama wakoMungu tusaidie wanawake, huyu ni mume wa mtu. Mke naye ana amani, anajivunia ’mume’!
We jamaa utakufa vibaya, usikute mkeo hata nguo nzuri humnunulii, pesa zote zinaishia kwenye pombe na wanawake.Nimegundua nimefanya makosa makubwa sana, nitajirekebisha, nampenda sana mke wangu. Uzuri Jana na Leo nimeepuka ushetani , sitaki Tena
Weka orodha tukukamatie anyekudanganyaSijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.
Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa upo period, nikashangaa nikadhani amecolabo na wife ninyimwe, Jana hiyo hiyo nikapeleka ulevi wangu baa moja nikamnunulia mdada bia nyingi na chakula mwisho wa siku akasema yupo period Nikaenda kulala.
Cha ajabu Leo Asubuhi nimeamka na hangover , na sijaenda kupiga kura, nikatoka home kama kawaida holiday, nikakamata vitoto viwili vya chuo, tukaenda kwenye bia na ngurue tumekula na kunywa, Sasa yule naemjua alikuja na mwenzie , Sasa mwenyeji wangu ambaye ndo mashine yangu , Toka tumeenda kula analalamika tumbo , niliwapiga Hennessy, akanambia anahisi tumbo la period. Sasa nikamtaim nikaongea na rafiki ake aliekuja nae , akanambia yupo period atanipa jumamos, si anajua na mahela na tunazurula na harrier tako la nyani. Nikawarudisha hostel. Sasa
Saa 10 kamili nikavuta mashine ingine ya Chuo(demu wangu pia), nikaiambia vipi ikasema nataka nikaangalie mpira, Sasa nimeipeleka liquor store tunakunywa,naona anakunywa bia taratibu nikamwambia mwaga moto piga vyombo, Molaaaah akanambia tupo linamsumbua, nikapagawa nikasema ' mke, mchepuko 1, mchepuko2, mchepuko 3 wote wapo period.
Sasa lengo langu nikuja kuuliza je hizi tarehe ndio wanawake wengi wanaingia period au nimechomekewa boya Mimi.
Hata kama wamedanganya, so mke wangu kslanidanganya,Weka orodha tukukamatie anyekudanganya
Nimeongea ukweli, Hali niliyokutana nayo, may be kwako ni utoto, ila nimeongea kilichonitokeaUtoto raha sana
Bao Moja unapiga dk ngapi ?? Tuanzie hapo kwanzaNimeongea ukweli, Hali niliyokutana nayo, may be kwako ni utoto, ila nimeongea kilichonitokea
Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.
Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa upo period, nikashangaa nikadhani amecolabo na wife ninyimwe, Jana hiyo hiyo nikapeleka ulevi wangu baa moja nikamnunulia mdada bia nyingi na chakula mwisho wa siku akasema yupo period Nikaenda kulala.
Cha ajabu Leo Asubuhi nimeamka na hangover , na sijaenda kupiga kura, nikatoka home kama kawaida holiday, nikakamata vitoto viwili vya chuo, tukaenda kwenye bia na ngurue tumekula na kunywa, Sasa yule naemjua alikuja na mwenzie , Sasa mwenyeji wangu ambaye ndo mashine yangu , Toka tumeenda kula analalamika tumbo , niliwapiga Hennessy, akanambia anahisi tumbo la period. Sasa nikamtaim nikaongea na rafiki ake aliekuja nae , akanambia yupo period atanipa jumamos, si anajua na mahela na tunazurula na harrier tako la nyani. Nikawarudisha hostel. Sasa
Saa 10 kamili nikavuta mashine ingine ya Chuo(demu wangu pia), nikaiambia vipi ikasema nataka nikaangalie mpira, Sasa nimeipeleka liquor store tunakunywa,naona anakunywa bia taratibu nikamwambia mwaga moto piga vyombo, Molaaaah akanambia tupo linamsumbua, nikapagawa nikasema ' mke, mchepuko 1, mchepuko2, mchepuko 3 wote wapo period.
Sasa lengo langu nikuja kuuliza je hizi tarehe ndio wanawake wengi wanaingia period au nimechomekewa boya Mimi
Kupakia Malaya kwenye gari Yako ni kujitia nuksi na mikosi isiyo na muhimu , nwei unaonekana Malaya mzoefu huwezi achaSijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.