Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

Mada na kututambia kuwa una Harrier tako la nyani mbn havihusiani acha ulimbukeni dogo na kujikuta wa kishua kumbe pimbi tu.
Ndo lengo la mada, kutuambia kuwa ana gari, utakuta kakopa hela benki ndo kalinunua mwezi huu, so linamzuzua.
 
Hawa mambwa ndo wanatutukanisha wanaume wengi sababu ya uhayawani wao.
Mke yuko period badala upate mapumziko akimaliza mparamiane vizuri, unahangaika na malaya. Sijui ataifaidije ya mkewe akimaliza period.
Kwa kusoma tu kichwa cha habari nilishawishika nikushauri usomee upadri. Hayo maisha yamekukataa.🤣🤣🤣
 
Mwalimu wako wa sayansi ndiye aliyekuambia wanawake wanakuwa kwenye siku zao kila mwisho wa mwezi siyo.
Nataka utambue kuwa hedhi siyo mshahara kwamba lazima imkumbe mwanamke mwishoni mwa mwezi tu.
 
Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.

Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa upo period, nikashangaa nikadhani amecolabo na wife ninyimwe, Jana hiyo hiyo nikapeleka ulevi wangu baa moja nikamnunulia mdada bia nyingi na chakula mwisho wa siku akasema yupo period Nikaenda kulala.
Cha ajabu Leo Asubuhi nimeamka na hangover , na sijaenda kupiga kura, nikatoka home kama kawaida holiday, nikakamata vitoto viwili vya chuo, tukaenda kwenye bia na ngurue tumekula na kunywa, Sasa yule naemjua alikuja na mwenzie , Sasa mwenyeji wangu ambaye ndo mashine yangu , Toka tumeenda kula analalamika tumbo , niliwapiga Hennessy, akanambia anahisi tumbo la period. Sasa nikamtaim nikaongea na rafiki ake aliekuja nae , akanambia yupo period atanipa jumamos, si anajua na mahela na tunazurula na harrier tako la nyani. Nikawarudisha hostel. Sasa

Saa 10 kamili nikavuta mashine ingine ya Chuo(demu wangu pia), nikaiambia vipi ikasema nataka nikaangalie mpira, Sasa nimeipeleka liquor store tunakunywa,naona anakunywa bia taratibu nikamwambia mwaga moto piga vyombo, Molaaaah akanambia tupo linamsumbua, nikapagawa nikasema ' mke, mchepuko 1, mchepuko2, mchepuko 3 wote wapo period.
Sasa lengo langu nikuja kuuliza je hizi tarehe ndio wanawake wengi wanaingia period au nimechomekewa boya Mimi.
wanakuona kenge
 
Na
Sijawahi kukutana na kituko kilichonitokea siku ya juzi, Jana na Leo. Inabidi nifikiri mara 1000, muda wote huu sikiwahi kung'amua hili.

Mke wangu aliingia period kama kawaida, tarehe zake ni hizi za 24-29. Sasa Toka Jana nimekuwa nikihangaika na michepuko. Jana nilipata mchepuko mmoja ukawa upo period, nikashangaa nikadhani amecolabo na wife ninyimwe, Jana hiyo hiyo nikapeleka ulevi wangu baa moja nikamnunulia mdada bia nyingi na chakula mwisho wa siku akasema yupo period Nikaenda kulala.
Cha ajabu Leo Asubuhi nimeamka na hangover , na sijaenda kupiga kura, nikatoka home kama kawaida holiday, nikakamata vitoto viwili vya chuo, tukaenda kwenye bia na ngurue tumekula na kunywa, Sasa yule naemjua alikuja na mwenzie , Sasa mwenyeji wangu ambaye ndo mashine yangu , Toka tumeenda kula analalamika tumbo , niliwapiga Hennessy, akanambia anahisi tumbo la period. Sasa nikamtaim nikaongea na rafiki ake aliekuja nae , akanambia yupo period atanipa jumamos, si anajuua na mahela na tunazurula na harrier tako la nyani. Nikawarudisha hostel. Sasa

Saa 10 kamili nikavuta mashine ingine ya Chuo(demu wangu pia), nikaiambia vipi ikasema nataka nikaangalie mpira, Sasa nimeipeleka liquor store tunakunywa,naona anakunywa bia taratibu nikamwambia mwaga moto piga vyombo, Molaaaah akanambia tupo linamsumbua, nikapagawa nikasema ' mke, mchepuko 1, mchepuko2, mchepuko 3 wote wapo period.
Sasa lengo langu nikuja kuuliza je hizi tarehe ndio wanawake wengi wanaingia period au nimechomekewa boya Mimi.
Mimi nipo namsubiria mkeo amalize period pia tuendelee kama kawaida yetu
 
May be unanielewa, mpaka nimeanzisha mada yamenikuta sio stori, Sasa sijui watoto wa 2000 wanajua naitafuta likes, nime share hapa nisikie opinion za wadau, pia tunajifunza mengi kupitia Uzi mbalimbali
Uimaanisha hivi:-👇👇👇

May be unanielewa, mpaka nimeanzisha mada yamenikuta sina style, Sasa sijui watoto wangu 20 watakuwaje? Natafuta likes, nime share hapa nisikie opinion za wadangaji, pia tunajifunza mengi kupitia Uzinzi wa watu mbalimbali
✍️✍️✍️
 
Sex is overrated in this cursed continent

Why sex is overrated in this cursed continent?

Because we are consumers and not producers so all we think 24/7 is eat, sex and sleep.
What is wrong with sex?
 
Back
Top Bottom