Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

Nakumbuka late 90s tukiwa tumekaa Tanga hotel kuna mshkaki wangu walimface mademu watano kila mmoja kwa muda wake kumuambia kama wana mimba zake. Jamaa alikonda ndani ya saa chache ila mwisho wa siku alizaa mmoja tu, na mtoto ni Wakili wa kujitegemea now, kaapishwa last year.
 
Hapa hakuna mtu mwenye ndoa wala hao mademu zako umetupiga kamba bwana mdogo. Hadithi njoo utam kolea.
 
Mada na kututambia kuwa una Harrier tako la nyani mbn havihusiani acha ulimbukeni dogo na kujikuta wa kishua kumbe pimbi tu.
 
Mada na kututambia kuwa una Harrier tako la nyani mbn havihusiani acha ulimbukeni dogo na kujikuta wa kishua kumbe pimbi tu.
Ofcourse that was unnecessary to bring to this topic, pia Mimi sio Dogo am 45, pia jikite kwenye mada tafadhali
 
Ofcourse that was unnecessary to bring to this topic, pia Mimi sio Dogo am 45, pia jikite kwenye mada tafadhali

Wife wangu yuko period tangu jana
Baby mama wangu nae juzi aliniambia tumbo linamsumbua, jana nikataka nimpange leo tukapige kura akaniambia simba wako uwanjani.
 
Unautweza uanaume wako!!
 
Wife wangu yuko period tangu jana
Baby mama wangu nae juzi aliniambia tumbo linamsumbua, jana nikataka nimpange leo tukapige kura akaniambia simba wako uwanjani.
May be unanielewa, mpaka nimeanzisha mada yamenikuta sio stori, Sasa sijui watoto wa 2000 wanajua naitafuta likes, nime share hapa nisikie opinion za wadau, pia tunajifunza mengi kupitia Uzi mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…