Nimechanganyikiwa, Jana Leo Kila naegusa yupo Period, nisaidieni

Mada na kututambia kuwa una Harrier tako la nyani mbn havihusiani acha ulimbukeni dogo na kujikuta wa kishua kumbe pimbi tu.
Ndo lengo la mada, kutuambia kuwa ana gari, utakuta kakopa hela benki ndo kalinunua mwezi huu, so linamzuzua.
 
Hawa mambwa ndo wanatutukanisha wanaume wengi sababu ya uhayawani wao.
Mke yuko period badala upate mapumziko akimaliza mparamiane vizuri, unahangaika na malaya. Sijui ataifaidije ya mkewe akimaliza period.
Kwa kusoma tu kichwa cha habari nilishawishika nikushauri usomee upadri. Hayo maisha yamekukataa.🤣🤣🤣
 
Mwalimu wako wa sayansi ndiye aliyekuambia wanawake wanakuwa kwenye siku zao kila mwisho wa mwezi siyo.
Nataka utambue kuwa hedhi siyo mshahara kwamba lazima imkumbe mwanamke mwishoni mwa mwezi tu.
 
wanakuona kenge
 
Na
Mimi nipo namsubiria mkeo amalize period pia tuendelee kama kawaida yetu
 
May be unanielewa, mpaka nimeanzisha mada yamenikuta sio stori, Sasa sijui watoto wa 2000 wanajua naitafuta likes, nime share hapa nisikie opinion za wadau, pia tunajifunza mengi kupitia Uzi mbalimbali
Uimaanisha hivi:-👇👇👇

May be unanielewa, mpaka nimeanzisha mada yamenikuta sina style, Sasa sijui watoto wangu 20 watakuwaje? Natafuta likes, nime share hapa nisikie opinion za wadangaji, pia tunajifunza mengi kupitia Uzinzi wa watu mbalimbali
✍️✍️✍️
 
Sex is overrated in this cursed continent

Why sex is overrated in this cursed continent?

Because we are consumers and not producers so all we think 24/7 is eat, sex and sleep.
What is wrong with sex?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…