Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Hilo achana nalo. Halikusaidii kitu. Soma vitu vya kukujenga maarifa na kiuchumi. Mimi nasoma siasa, habari mchanganyiko na biashara na uchumi. Sio kila kitu ni cha kusoma.Lakn s kuna jamvi LA mapenz ushaur na mahusiano???
Ha ha ha. Sasa unamsalimia mtu humjui lazima akuite pepo. Umenichekesha sana.Dah...aya mambo aya yamejaa kutishana tu na ndo mana kuna siku nilimfuata demu fb inbox baada ya kujibu salamu yangu ananiambia shindwa katika jina la ....duh...nikaona eenhe...nishakuwa pepo
Non kinahusika humoo??Mkuu ni kweli nimesoma fungua hii link. 12 Harrowing Online-Dating Encounters That Ended In Murder
Ila uovu upo popote, unaweza ukakutana na MTU mkajuana na mkapendana kwa mda na badae akakumaliza japo mnajuana vizuri tuuMkuu ni kweli nimesoma fungua hii link. 12 Harrowing Online-Dating Encounters That Ended In Murder
Hii nietoa mfano wa kuchat na mtu usiyemjua. Lakini non ndiyo nini mkuu?Non kinahusika humoo??
hahahaha imani ilimzidi yule haahaa salamu si ndo mwanzo wa yote mkuu...Ha ha ha. Sasa unamsalimia mtu humjui lazima akuite pepo. Umenichekesha sana.
Ni mweli lakini usiyemjua ni hatari zaidi. Unayemjua inatokea kwa nadra lakini kweli inatokea.Ila uovu upo popote, unaweza ukakutana na MTU mkajuana na mkapendana kwa mda na badae akakumaliza japo mnajuana vizuri tuu
Ha ha ha!!! Yaani wewe!!!!hahahaha imani ilimzidi yule haahaa salamu si ndo mwanzo wa yote mkuu...
Utasajiliwaje bila vipimo vya afya..???Salaaam.....
Wakuu katika pita pita zangu katika kwa wataalamu was dini nimekutana na hili..
Eti kwa kuya mtumiaji was muda mrefu wa internet kwa siku kuna pelekea mtumiaji kupata au kukumbwa na Mapepo, MAJIN MAHABA, KUSAJILIWA KUZIMU, NA KUCHANGANYIKIWA KIAKILI?????
Nime kuja kwenu ili niweze pata uhakika na ukweli kuhusu hili
Maaaana limeniogopesha Sana'a
Shukrani....
Kama huyo kwenye avatar ni ww pole sana..Mchungali mmoja na mashehe wawili
Umerudii eeehWew mtoa mada n me au ke?
Umeona eeeh. Mapepo yapo mtandaon hasa Facebook angalia usije kukumbwaDah...aya mambo aya yamejaa kutishana tu na ndo mana kuna siku nilimfuata demu fb inbox baada ya kujibu salamu yangu ananiambia shindwa katika jina la ....duh...nikaona eenhe...nishakuwa pepo