Nimechanganyikiwa kuhusu hili ni ukweli ama ndo propaganda?

Nimechanganyikiwa kuhusu hili ni ukweli ama ndo propaganda?

Dah...aya mambo aya yamejaa kutishana tu na ndo mana kuna siku nilimfuata demu fb inbox baada ya kujibu salamu yangu ananiambia shindwa katika jina la ....duh...nikaona eenhe...nishakuwa pepo
 
Lakn s kuna jamvi LA mapenz ushaur na mahusiano???
Hilo achana nalo. Halikusaidii kitu. Soma vitu vya kukujenga maarifa na kiuchumi. Mimi nasoma siasa, habari mchanganyiko na biashara na uchumi. Sio kila kitu ni cha kusoma.
 
Dah...aya mambo aya yamejaa kutishana tu na ndo mana kuna siku nilimfuata demu fb inbox baada ya kujibu salamu yangu ananiambia shindwa katika jina la ....duh...nikaona eenhe...nishakuwa pepo
Ha ha ha. Sasa unamsalimia mtu humjui lazima akuite pepo. Umenichekesha sana.
 
Ila uovu upo popote, unaweza ukakutana na MTU mkajuana na mkapendana kwa mda na badae akakumaliza japo mnajuana vizuri tuu
Ni mweli lakini usiyemjua ni hatari zaidi. Unayemjua inatokea kwa nadra lakini kweli inatokea.
 
Hazina madhara itategemea na unaangalia nin labda phonographic pia tumia mda kusoma vitu mbali mbal vya kuelimisha itakupanua akila hutakua unachanganyikiwa vitu vidogo vdogo
 
Salaaam.....
Wakuu katika pita pita zangu katika kwa wataalamu was dini nimekutana na hili..
Eti kwa kuya mtumiaji was muda mrefu wa internet kwa siku kuna pelekea mtumiaji kupata au kukumbwa na Mapepo, MAJIN MAHABA, KUSAJILIWA KUZIMU, NA KUCHANGANYIKIWA KIAKILI?????
Nime kuja kwenu ili niweze pata uhakika na ukweli kuhusu hili
Maaaana limeniogopesha Sana'a
Shukrani....
Utasajiliwaje bila vipimo vya afya..???
 
We kama ulienda huko kimya kimya basi ungebaki nayo moyoni yaliyokupeleka huko[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Dah...aya mambo aya yamejaa kutishana tu na ndo mana kuna siku nilimfuata demu fb inbox baada ya kujibu salamu yangu ananiambia shindwa katika jina la ....duh...nikaona eenhe...nishakuwa pepo
Umeona eeeh. Mapepo yapo mtandaon hasa Facebook angalia usije kukumbwa
 
Hilo achana nalo. Halikusaidii kitu. Soma vitu vya kukujenga maarifa na kiuchumi. Mimi nasoma siasa, habari mchanganyiko na biashara na uchumi. Sio kila kitu ni cha kusoma.
Oiohh. Saw a sawa mkuuu
 
Back
Top Bottom