Najua aina yako mpo sana tu. Hata hivyo hongera kwa kutimiza majukumu. . .habari ndo hiyo,na sio utani its a fact,inshallah one day we will get to know each other,you will see my watoto's na ninawalea mwenyewe.
Latifa ,achana na ushauri huu wa Loly,jamaa yako mpe fursa ya kulea mimba hata kama una hasira naye vipi,believe me,i am talking from experience ,omba Mungu uzae salama,we na ba mtoto mtaishia kuwa marafiki hata kama sio urafiki wa malavidavi.Futa mawasiliano na huyo shetani wala usitoe mimba zaa mtoto wako usimshirikishe kwa kitu chochote, wanaume wamaana wamejaa na hawakatai watoto usimuue mwanao kisa huyo pepo endelea na maisha kama kawaida wewe sio wa kwanza kufanyiwa hivyo.
Kumfuta akilini huwezi.....sijawahi kufanya abortion......
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya.....
ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu
Acha bro kuna wanaume ving'ang'anizi, mpaka atamuharibia kitumbua chake kwa mwanaume mpya, huyo jamaa mpotezeee! mtose kimya kimya hakuna kumwambia wala nini![/QUO
ni kweli kama bado anakupenda anakuharibia huyo yaani kata connection na yeye chukulilia amekufa, kama anavyosema Bishanga mtoto utampeleka kwa wajomba noo usifanye hivyo mtoto utamuita jina la huyohuyo baba yake ila huyo baba amekufa, sawa?
Latifa ,achana na ushauri huu wa Loly,jamaa yako mpe fursa ya kulea mimba hata kama una hasira naye vipi,believe me,i am talking from experience ,omba Mungu uzae salama,we na ba mtoto mtaishia kuwa marafiki hata kama sio urafiki wa malavidavi.
Mbona unamkomalia sana Latifa aendelee na jamaa, au ndio wewe uliemwaribia maisha nini? maana humu id ni.............?
hapa sijakuelewa Lizzy ,kivipi asimwambie mwenye mimba? Una maana unataka Latifa acheze kale kamchezo ka kutaifisha mtoto na kumpa u bin wa ujombani?sikubaliani na wewe katika hili,nashauri amwambie jamaa kuwa ana mimba yake lakini hataki mahusiano yao yaendelee ila watunze mimba pamoja in the best way possible.
Latifa,usijiue,mambo madogo sana haya,mi mwenyewe nshawafanyia wanawake madhambi kama haya mara kibao,walizaa na leo tuko marafiki tunalea.We tulia everything will be okay,time is the ultimate healer.
sikushauri uanze mahusiano na mwanaume mwingine kwani waweza kuumia zaidi,kaa lea ujauzito lea mtoto, mapenzi yatafuata badaenashukuru sana the boss itabidi nifanye hivyo ila ni rahisi mwanaume kukubali mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine?
hebu tuliza akili!!
Jaribu kuwasiliana nae kama huwezi kulea mimba na huyo mtoto, mweleze msimamo wako kuhusu mahusiano yenu.kumbuka anaweza kuwa alikuwa anakupenda kweli ingawa ana mke na watoto, wekeni utaratibu wa kulea hiyo mimba na mtoto.
Pili, pumzika na endelea kulea hiyo mimba usifanye maamuzi ambayo utajuta maisha yako yote kila la kheri. Ingawa ni ngumu kuamini upo na mt miaka miwili na unategemea kuolewa nae na hujui kama ana mke, labda ulikuwa hutaki kuamini hadi uone.
Pole sana hilo halikufanyi kutoa uhai wako, mahospitalini watu wanaangaika kuongeza siku za kuishi.
Kiranga komo, mkome kuwafungulia kufuli watu ambao hamjaoana, wacheni uzinzi. Sasa nenda kapime kama hajakuachia nao, hizo ndio faida za zinaa.
Now my advice,nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake
nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
huyo mama Mchungaji'anakuchana ä live,MxKiranga komo, mkome kuwafungulia kufuli watu ambao hamjaoana, wacheni uzinzi. Sasa nenda kapime kama hajakuachia nao, hizo ndio faida za zinaa.