hapa sijakuelewa Lizzy ,kivipi asimwambie mwenye mimba? Una maana unataka Latifa acheze kale kamchezo ka kutaifisha mtoto na kumpa u bin wa ujombani?sikubaliani na wewe katika hili,nashauri amwambie jamaa kuwa ana mimba yake lakini hataki mahusiano yao yaendelee ila watunze mimba pamoja in the best way possible.
Latifa,usijiue,mambo madogo sana haya,mi mwenyewe nshawafanyia wanawake madhambi kama haya mara kibao,walizaa na leo tuko marafiki tunalea.We tulia everything will be okay,time is the ultimate healer.
Kihere here hicho
Nashukuru sana The Boss itabidi nifanye hivyo ila ni rahisi mwanaume kukubali mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine?
Mbona unamhukumu tena?
Ukweli aambiwe lakini limeshatokea,yupo gizani aoneshwe njia.
Hapo dada utakuwa una hasira kwa sasa.siwezi kuongea nae milele kwanini anidanganye? Hata kama ananipenda kwangu umependo umekwisha atulie na mke wake
Belinda,kumbe mnatubambikiaga eh? Kesho naamkia kwenye DNA!Naunga mkono kwenye bold..hata ukichanganyikiwaje, usijiue mana utapoteza maisha yako na mwenzio anadunda..
Tuliza kichwa, najua mawazo makali utakuwa nayo sana kwa sasa..lea huyo mtoto, unaweza kuolewa na mtu mwingine baadae. Usimbambikie mwanaume mwingine huyo mtoto. Pole kwa yaliyokukuta!
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.
Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.
Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.
Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?Naombeni mawazo yenu wadau wote
naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.
Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. Siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.
Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
Au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.
Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? Na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?
Naombeni mawazo yenu wadau wote
wewe mwenywewe lazima nikubambikieBelinda,kumbe mnatubambikiaga eh? Kesho naamkia kwenye DNA!
Kihere here hicho
ulikuwa unawakataa kwani huyo alikuwa mumeo? ona sasas ungekuwa unae wa pembeni usingepata shida
usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja
nina shaka na akili zako.
utamwambiaje mtu ivyo ktk situation hii?
au aujaelewas alichoandika?
pamadaku.
Hakuna tatizo kama umempenda endeleeni na taratibu za ndoa akuoe kama mke wa pili.ACHENI ZINAA
kheri ya mwaka mpya rose. . .
Watu wengine akili zao hazijai kijiko, mpotezee tu.
Kheri ya mwaka mpya Rose. . .
Watu wengine akili zao hazijai kijiko, mpotezee tu.
yaaa utakaaje na mchumba miaka miwili eti kuna wanaume pembeni wanakutaka na wewe unawatosa?isnt relevant.