Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

hapa sijakuelewa Lizzy ,kivipi asimwambie mwenye mimba? Una maana unataka Latifa acheze kale kamchezo ka kutaifisha mtoto na kumpa u bin wa ujombani?sikubaliani na wewe katika hili,nashauri amwambie jamaa kuwa ana mimba yake lakini hataki mahusiano yao yaendelee ila watunze mimba pamoja in the best way possible.
Latifa,usijiue,mambo madogo sana haya,mi mwenyewe nshawafanyia wanawake madhambi kama haya mara kibao,walizaa na leo tuko marafiki tunalea.We tulia everything will be okay,time is the ultimate healer.

Vp mkuu kuna rough unahisi umecheza nini pahali?
 
ungekuwa nchi za watu ningekushauri uitoe,ila bongo mnh wanaweza kuondoka na kizazi au ufe,lea tu mwana wako wengi wameolewa na watoto wao
 
Nashukuru sana The Boss itabidi nifanye hivyo ila ni rahisi mwanaume kukubali mwanamke mwenye mimba ya mtu mwingine?

Yep dada! Matured Man wanakubali, kwa sababu ukipenda maua uupende na mti wake.
 
Mbona unamhukumu tena?
Ukweli aambiwe lakini limeshatokea,yupo gizani aoneshwe njia.

Njia ipi aoneshwe zaidi ya kwenda kupima Kama hajaachiwa ukimwi? Kwani wazee wake walikuwa hawamfundi kuwa zinaa mbaya? Kwanza akapime halafu alee mimba yake ya uzinzi. Umsaidie nini hapo? Kamlee basi yeye na mimba yake. Afanye upupu halafu aitangazie dunia? Ndio hayo ya kunga'twa na mbwa ukatangaza kidonda.
 
siwezi kuongea nae milele kwanini anidanganye? Hata kama ananipenda kwangu umependo umekwisha atulie na mke wake
Hapo dada utakuwa una hasira kwa sasa.

Baba ni muhimu sana kwa mtoto, na kwenye mapenzi kudanganyana mara nyingi hutokea cha muhimi ni kujifunza na kuwa makini sana katika mahusiano yajayo.
Pia ni vizuri kuanza kufikiri kwa niaba ya mtoto utakaje jifungua hapo baadae labda kama unampango wa kuitoa hiyo mimba.
 
Naunga mkono kwenye bold..hata ukichanganyikiwaje, usijiue mana utapoteza maisha yako na mwenzio anadunda..

Tuliza kichwa, najua mawazo makali utakuwa nayo sana kwa sasa..lea huyo mtoto, unaweza kuolewa na mtu mwingine baadae. Usimbambikie mwanaume mwingine huyo mtoto. Pole kwa yaliyokukuta!
Belinda,kumbe mnatubambikiaga eh? Kesho naamkia kwenye DNA!
 
Wewe dada tulia usije ukapoteza maisha yako kwasababu ya mwanaume wala usije ukasubutu kutoa mimba hujui huyo mtoto atakayezaliwa atakuwa nani na atakuja kukusaidiaje tambua kuwa tumboni kwako yumo mtu mkubwasana na wapekee lea mimba hiyo ,usiwe na hofu huyo si mwananume pekee utapata mwingine
 
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.

Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.

Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.

Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?Naombeni mawazo yenu wadau wote

ulikuwa unawakataa kwani huyo alikuwa mumeo? ona sasas ungekuwa unae wa pembeni usingepata shida
usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja
 
Hakuna tatizo kama umempenda endeleeni na taratibu za ndoa akuoe kama mke wa pili.ACHENI ZINAA
naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.

Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. Siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.

Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
Au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.

Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? Na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?

Naombeni mawazo yenu wadau wote
 
Nuh dash nuh belly.

The child stays in the picture.

Hata kama ni kwa kumtoa aende kwenye adoption kwa wasioweza kuzaa.

Kwa kutuuliza tu ushatupa haki ya kusema tunachoamini, na wengine tunaona kuhukumu kiumbe ambacho hakina makosa kwa makosa ya bazazi mmoja si haki, hususan kama kuna namna zinzweza kupangwa kuokoa jahazi.

Fikiria kama Maria mama yake Yesu angeamua kufanya abortion, au mama yake mtume Muhammad angeamua hivyo, au mama yake Gautama, au mama yake Socrates, au mama yake Nyerere et cetera et cetera, leo tungekuwa wapi?
 
Nakusihi sana chonde mimba usitoe'
wewe sio wa kwanza kuzaa kabla ya ndoa,ingawa kiiman ni vibaya lakn usiongeze kosa juu ya kosa,unajuaje kama Mungu alikuandalia mtoto huyo huyo mmoja?mwambie ukwel muhusika ajue yuko responsible,kuolewa kupo tu usikurupukie new relatnshp tulia utaolewa na mtu uliyeandaliwa na Mungu!
 
nina shaka na akili zako.

utamwambiaje mtu ivyo ktk situation hii?
au aujaelewas alichoandika?

pamadaku.


Kheri ya mwaka mpya Rose. . .

Watu wengine akili zao hazijai kijiko, mpotezee tu.
 
Hakuna tatizo kama umempenda endeleeni na taratibu za ndoa akuoe kama mke wa pili.ACHENI ZINAA

usihukumu UTAHUKUMIWA.


AACHE ZINAAA ndo kusema wewe aukuwaoi kufanya kbla aujaoa/kuolewa?

mbona watu mnapenda kujifanya maholly sana? majaji sana?
mpe mtu ushauri ndicho alichoomba sasa cha kumwambia acha zinaa asi angeenda kuambiwa na TACAIDS AU padre izi wakat anaungama ...au?

achen kuhukumu nyie bnadamu as if nyinyi ni wasaf sana...mpen ushauri kiishe..ASHAKWAMBIA ALIKUWA HAJUI KM KAOA...ALIDANGANYWA...unless othewise unambie aujawai kudanganywa kwa jambo lolote ata na mtoto wako hm..
 
Kheri ya mwaka mpya Rose. . .

Watu wengine akili zao hazijai kijiko, mpotezee tu.


thx maaaaaaaa...u2 hap nw yr
dahh nashangaa watu yan wanajifanya mahakimu full kujaj as if wao hawadinyi nje au kabla ya ndoa....

akili za ki form 2 b ,mwanzo mwisho.....mtu limemtokea bnas bahat mbaya mpen ushauri sasa cha kujifanya msaidiz wa mungui kuhukumu yahuu...yan wananiboa izi pipo ni basi ......


niaje lakin?
NN ajambo?
 
Back
Top Bottom