klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!Hahahha..kumbe watu tayari washatumia hii chance kujineemesha?
Jamaa karudi kipole sana..sredi tayari imeshaharibika
Ankal ubwabwa wa IDD tunakula wapi???Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!
kwao Husninyo, nipo bize naweka girisi kwenye baskeli, si unajua husninyo kahamia maeneo ya bonde la ufa?Ankal ubwabwa wa IDD tunakula wapi???
kwao Husninyo, nipo bize naweka girisi kwenye baskeli, si unajua husninyo kahamia maeneo ya bonde la ufa?
Ankal ubwabwa wa IDD tunakula wapi???
Usisahau kuchukua kanzu, kibargashia, ndizi na pilipilikwao Husninyo, nipo bize naweka girisi kwenye baskeli, si unajua husninyo kahamia maeneo ya bonde la ufa?
Tutakupitia pale kwenye ule muembe tusubirie hapo usisahau kujipata yale manukato ya AYU na ujifukizie na UDINami naomba mwaliko.......🙂
Dah! sisi wenyewe hatujaalikwa, tunavamia tu kwavile mchumbaake husninyo ni mkulima mzuri wa mpunga tunakisia tu kwamba kutakuwa na pilau la kumwaga!Nami naomba mwaliko.......🙂
Usisahau kuchukua kanzu, kibargashia, ndizi na pilipili
Usisahau kuchukua kanzu, kibargashia, ndizi na pilipili
Tutakupitia pale kwenye ule muembe tusubirie hapo usisahau kujipata yale manukato ya AYU na ujifukizie na UDI
Dah! sisi wenyewe hatujaalikwa, tunavamia tu kwavile mchumbaake husninyo ni mkulima mzuri wa mpunga tunakisia tu kwamba kutakuwa na pilau la kumwaga!

Hujafa tu strit boy? idd imeahirishwa mpaka kesho tumekosa ubwabwa, na wewe pia umeahirisha kifo dah, jinyonge basi wenzio ndizi zitatuozea hapa
Sarafina unaua lol!!!Hujafa tu strit boy? idd imeahirishwa mpaka kesho tumekosa ubwabwa, na wewe pia umeahirisha kifo dah, jinyonge basi wenzio ndizi zitatuozea hapa
Weka vizuizi pale kwenye lile bonde la ufa asipite kwisha kazi yake, huwa nasikia anabeba ubwabwa kwenye shatihalaf tuwahi kabla Uporoto, manaake mjomba ana tumbo la ngamia, akiingia sehem anatumia law ya "survival of ze fittest" , kulaleki!
I will be there. Ngoja nikajiandae......ila aangalia tu Kloro asije kubadili mawazo na kuishia kutibia malaria....🙂
Dah!! Mbona unatutosaaaaaah jamani...imekuwa hayo tena....haya bana! Ngoja nitamtafuta AshaDii...nina uhakika huko nitapata mwaliko!
Dah!! Mbona unatutosa
Dah! sisi wenyewe hatujaalikwa, tunavamia tu kwavile mchumbaake husninyo ni mkulima mzuri wa mpunga tunakisia tu kwamba kutakuwa na pilau la kumwaga!
Usijali huwa ndio mwendo wetu huo si unajua sie pale kijijini ni macelebrity so huwa hatuhitaji kadiSijakutosa TF, ila umemuona Kloro hapa chini......
Usijali huwa ndio mwendo wetu huo si unajua sie pale kijijini ni macelebrity so huwa hatuhitaji kadi

tunavamia tu kwavile mchumbaake husninyo ni mkulima mzuri wa mpunga tunakisia tu kwamba kutakuwa na pilau la kumwaga!

profession calling. Usiseme hujaonywa.
Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!