Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Hahahha..kumbe watu tayari washatumia hii chance kujineemesha?
Jamaa karudi kipole sana..sredi tayari imeshaharibika
Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!
 
Ankal ubwabwa wa IDD tunakula wapi???
 
kwao Husninyo, nipo bize naweka girisi kwenye baskeli, si unajua husninyo kahamia maeneo ya bonde la ufa?
Usisahau kuchukua kanzu, kibargashia, ndizi na pilipili

Nami naomba mwaliko.......🙂
Tutakupitia pale kwenye ule muembe tusubirie hapo usisahau kujipata yale manukato ya AYU na ujifukizie na UDI
 
Dah! sisi wenyewe hatujaalikwa, tunavamia tu kwavile mchumbaake husninyo ni mkulima mzuri wa mpunga tunakisia tu kwamba kutakuwa na pilau la kumwaga!

aaaaah jamani...imekuwa hayo tena....haya bana! Ngoja nitamtafuta AshaDii...nina uhakika huko nitapata mwaliko!
 
Hujafa tu strit boy? idd imeahirishwa mpaka kesho tumekosa ubwabwa, na wewe pia umeahirisha kifo dah, jinyonge basi wenzio ndizi zitatuozea hapa
<br />
<br />
vibaya hvo Safina mwache mwenzio apige kwanza kitu cha pilau kesho, ndo afikirie upya uamuzi wakujinyonga.
 
halaf tuwahi kabla Uporoto, manaake mjomba ana tumbo la ngamia, akiingia sehem anatumia law ya "survival of ze fittest" , kulaleki!
Weka vizuizi pale kwenye lile bonde la ufa asipite kwisha kazi yake, huwa nasikia anabeba ubwabwa kwenye shati
 
Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!

Hahaha,me nilitumiwa PM kwamba Rejao kakatwa kidevu so nichangie
hela ya matibabu,ila ilikua kweli aisee
 
Back
Top Bottom