klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mkuu humu JF mna wajanja wengi sana, hata wewe kuna kipindi nilitumiwa PM umelazwa muhimbili nichangie hela ya dripu, dakika 5 baada ya kupokea PM nikaona umerusha post unatongozana na King'asti ndio nikashtuka hauko muhimbili wala milembe. Dah!Hahahha..kumbe watu tayari washatumia hii chance kujineemesha?
Jamaa karudi kipole sana..sredi tayari imeshaharibika