First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
huma gani aisee!!!! hivi kuna dogo nimeshamtuma sokoni akanunue kamba!!!!!!!Ha ha ha ha ha mweeh we FB wewe huna hata huruma???
<br />mijanaume mingine bwana....yaani kama ikitembea inajamba!
<br />Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
hakuna taifa linalowahitaji watu kama hawatumsaidie bana sis...
atajinyoga eti..
Taifa linamuhitaji..
<br />Unajinyonga lini????<br />
naomba mwaliko wa mazishi...
huma gani aisee!!!! hivi kuna dogo nimeshamtuma sokoni akanunue kamba!!!!!!!
heh kilichobaki namuomba mtoa mada ani PM nimletee kamba mahali alipo!!!!!!!!!!!! hehhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
hakuna taifa linalowahitaji watu kama hawa
akajinyonge tu ili apunguze mzigo kwa Taifa lenye watu wenye akili!!!!!!!!!! heh!!!!
hahahahahahaha! Nimecheka kwa maikrofoni. Lol.
Jamani ishu ya kweli acheni utani
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
Anao mlinzi si unakumbuka alitaka kujinyonga baada ya kumpa mimba yule hausigeli wa jiraniumeuhamisha wapi??
Anao mlinzi si unakumbuka alitaka kujinyonga baada ya kumpa mimba yule hausigeli wa jirani
.Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?