Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Ha ha ha ha ha mweeh we FB wewe huna hata huruma???
huma gani aisee!!!! hivi kuna dogo nimeshamtuma sokoni akanunue kamba!!!!!!!
heh kilichobaki namuomba mtoa mada ani PM nimletee kamba mahali alipo!!!!!!!!!!!! hehhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
<br />
<br />
jinyonge kweli,ufe..na ufie mbali huko,hakika unastahili,usiache kujinyonga tafadhali
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Pole sana mdogo wangu,

Pamoja na majibu mazuri ya wadau...Mimi naomba nikushauri utulie kidogo ili akili irudi kwenye usawa wake...Suala la kumpa mwenzio mimba ni zito sana hata kama ungekuwa na mmoja! Linachanganya sana kwani huwa liko nje ya matarajio...

Naamni wadau wote wanalijua hilo na tuko wengi sana ambao tuliwahi kukutana na kasheshe hiyo.. Kama kuna anayebisha aende kuangalia hizi ndoa zinazofungwa siku hizi kwa voda fasta...Ni nadra sana kukuta bibi harusi hana parabola!!

Wewe tulialia ili ujiadae kuelea mtoto wako...Na usishangae huyo unayempenda siku moja akawa ndiye Ex-GF wako!! Naamini baada ya hapa utaacha kuishi kwa njozi na matamanio (lust)...Utaona maisha katika mwanga bora!!
 
Acha ujinga,ungembulia Ngoma ingekuwaje na itakuwaje kama huyo demu wako umpendaye asipopata mimba?
 
Acha ujinga,ungembulia Ngoma ingekuwaje na itakuwaje kama huyo demu wako umpendaye asipopata mimba?Kama vp kunywa sumu.
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Mkuu JINYONGE tuu.., nafikiri hautambui nini maana ya kupenda ndio sababu unajidanganya kuwa unampenda huyo demu wako. By the way ni nani aliyekudanganya wanaume wengi hawawezi kuwa na mpenzi mmoja? Hayo ni matokeo ya ulichopanda huna budi kuvuna... bado na maradhi.....
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?
.

Sasa mwenye uwezo mdogo wa kufikiri ni yeye au wewe? how did you sex with her with no protections? your are idiot. How did you sex with another girl if you have the one you love? Idiot. How sure are you that the pregnant is yours? Idiot.
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Tunaweza kuanza kuhoji uanaume wako uko wapi
Mwanaume hakimbii matatizo anayaface na ni kama c hallenge kwako kupambana na kila tatizo
Wewe tatizo limekupata unakimbilia kusem aunajinyonga na hayo matatizo ya mtoto umwachie nani
Kwani huyo mtoto ana kosa gani kuzaliwa duniani halafu akukose wewe kama baba yake
Wakati unachovya hukujua kuw amatokeo yake yanawez akuwa haya mpaka utoke na wazo la kujinyonga
Face matatizo mwanaume na huyo sasa mwendeleze awe na mawazo na uwezo wa kufikiri uwe kama wako
Kwanza wewe umejitambuaje kuwa una uwezo wa kufikiri na yeye hana
 
Back
Top Bottom