Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

hehehe huyu alitegemea vidada vya JF vitambembeleza asijinyonge, kumbe vidada vyenyewe vya JF vimedata kama waume zao! ndo kwanza vinafagilia jamaa ajinyonge. Dah! imekula kwa mleta sredi aisee!

Angejua vidada vya huku ni vibaya kwa kejeli asingeleta mada
hapa vinakutwanga za uso bila woga wowote
 
heheh alikuwa na plan ya kujinyonga , lakini baada ya kusoma hii sredi nazani atajiuwa kwa shock ya umeme ili kusave muda!

Khaa! JF makatili wajameni, yaani mimi peke yangu ndio nimemshauri kihuruma
 
Naomba kwanza mfute hizo kauli zenu...Hapa JF, tena kwenye jukwaa la MMU hakuna vidada!!
 
hehehe huyu alitegemea vidada vya JF vitambembeleza asijinyonge, kumbe vidada vyenyewe vya JF vimedata kama waume zao! ndo kwanza vinafagilia jamaa ajinyonge. Dah! imekula kwa mleta sredi aisee!

Nilikua na hasira na huyu mleta sredi ila sasa nimecheka mpaka basi lol, huyu kaharibia dada wa watu huko halafu anakuja hapa tumuonee huruma, huruma ya nini sasa? mi ameniudhi sana na hiyo mimba ndio dawa ya wote wanaopenda ku-du na wadada wakati wanajua kabisa hawawapendi bali kuwatumia tu kukidhi matamanio yao
 
hehehe huyu alitegemea vidada vya JF vitambembeleza asijinyonge, kumbe vidada vyenyewe vya JF vimedata kama waume zao! ndo kwanza vinafagilia jamaa ajinyonge. Dah! imekula kwa mleta sredi aisee!

Nilikua na hasira na huyu mleta sredi ila sasa nimecheka mpaka basi lol, huyu kaharibia dada wa watu huko halafu anakuja hapa tumuonee huruma, huruma ya nini sasa? mi ameniudhi sana na hiyo mimba ndio dawa ya wote wanaopenda ku-du na wadada wakati wanajua kabisa hawawapendi bali kuwatumia tu kukidhi matamanio yao na hajafa tu?
 
Ukome!unabeep halafu ukipigiwa hutaki kupokea?Namsikitikia sana huyo demu wako kwa kukupenda manake kaingia chaka.
 
heheh alikuwa na plan ya kujinyonga , lakini baada ya kusoma hii sredi nazani atajiuwa kwa shock ya umeme ili kusave muda!

Khaa! JF makatili wajameni, yaani mimi peke yangu ndio nimemshauri kihuruma
Aisee mtafute Uporoto au Hashycool wampe huyu strit boy ushauri
 
wewe ni bora ujinyonge tuu kma kweli unampenda demu wako iweje utembee nje bila condom si utamuua kwa ukwimi siku si nyingi kama unatembea hovyo tena shukuru mungu mimba je ungepata ngoma ingekuwaje.jirekebishe
 
uhhhh nafuta kauli yangu
Dadaz wa Jf

Safi kabisa...kwani sasa heshima na utukufu wa MMU umekuwa restored,

Ladies and gentlemen wanaweza kuendelea na mkakati wa kumuokoa dogo ili mwisho wa siku awe polygamous!!
 
Aisee mtafute Uporoto au Hashycool wampe huyu strit boy ushauri

Leo wajukuu na mabrother/masista mmeniacha hoi...Mara hoooooo, katembea bila kondomu, mara mwingine anasema jamaa ameanza mapema kucheat....n.k!!

Hata viongozi wa ile club yetu tukufu wameingia mitini badala ya kusaidia fisadi mtoto wa mambo ya ngono!!

Kijana CV yake inatisha.......Mungu ampe uzima walau wa miaka kama 10 hivi ili awe Professor kabisa!!
 
wewe ni bora ujinyonge tuu kma kweli unampenda demu wako iweje utembee nje bila condom si utamuua kwa ukwimi siku si nyingi kama unatembea hovyo tena shukuru mungu mimba je ungepata ngoma ingekuwaje.jirekebishe
umeona eee? huyu muuaji!!!!!!!!!!!!!!
 
Nae demu wako wa kweli mpige mimba ili asikukimbie

he doesnt deserve her,amuache tu aendelee ufuska wake.....mie nahisi huyu mwenye upeo mdogo wa kufikiri ndiye anayeendana naye abaki naye mama wa watoto wake since yeye mwenyewe ana upeo mdogo wa kufikiri...

strit boy hio ni warning toka kwa sir god mimba utalea ,ukimwi je????be careful next time.
 
Sasa Mzee DC dogo kayataka mwenyewe halafu anataka kujinyonga tumsaidieje hapo....

Ila namuona bado yupo ina maana hajajinyonga bado mie nilivyokuwa na hamu ya pilau kanikata stimu ile mbaya
 
hahahha.........umelengeshewa ukalenga....sasa hutaki kulenga shabaha
 
Sasa Mzee DC dogo kayataka mwenyewe halafu anataka kujinyonga tumsaidieje hapo....

Ila namuona bado yupo ina maana hajajinyonga bado mie nilivyokuwa na hamu ya pilau kanikata stimu ile mbaya

Haya dada....Mie nimshatimiza wajibu wangu...Kama hamsikii basi tena,

Mmesahau kwamba mna watoto na wajukuu??

Msaidieni mtoto wa mwenzenu!!
 
Angekuwa ni wakujinyonga asingesema kabisa tungeitwa tu kula pilau hajinyongi huyu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…