Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Nimechanganyikiwa! Nimemsaliti GF wangu, kwa kumpa mimba mwingine..

Hili sredi limenikumbusha mbali aisee!

kuna siku nilijifanya nina hasira nataka kujiuwa nikameza panadol sita! Dah! skufa aisee!
side effect yake wiki ilofata waifu alipata ujauzito. Khaaa! panadol bana!
 
Unataka kuuawa na panadol sita kwani una kilo ngapi?

Sina hakika kama hiyo dozi inaweza kuua hata kuku!
 
Aaah! Usijinyonge kwanza bana. Kuna kiongozi mmoja wana wa nchi wamemkinai sana. Fanya maarifa uondoke nae utaacha histori kwa hao wana wa nchi. Mtoto watakususaidia kulea.
 
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta nimempa mimba dem ambaye sina mpango wa kumuowa kutokana na tabia zake na uwezo wake kufikiria bado ni mdogo na sijui dem wangu wa kweli akijua itakuje na kiukweli nampenda sana mpenda sana dem wangu wa ukweli kuanzia sura hadi tabia jamani nifanye nini ?

Nimeishachangisha eneo la kukuzikia! Nipe jina la mtaa unaokaa ili ukishakufa iwe fasta ushafukiwa! Maana utatuharibia watoto wetu sb
 
Ana uwezo mdogo wa kufikiri with high preg. affinity!, by the way et wee wtoa mada ni mhehe?
 
Demu huna mpango wa kumuoa, pili humpendi halafu hautumii kondomu. Kajinyonge
 
Aisee mkuu haujajinyonga 2 bado,wa2 2na hamu na pilau huku?
 
watu mna hamu jamaa ajinyonge
duh huko aliko nafikiri akisoma hizi post hapa naona anacheka mwenyewe na hata hiyo hamu ya kujinyonga haipo tena
 
Siamini kama naweza kupata majibu kama haya kwa magrit thinkers ila naamini wapo wenye matatizo kama yangu wameyaficha wanaogopa aibu kwa wana jf ok natatua nikishindwa ndo hivyo tena
 
Siamini kama naweza kupata majibu kama haya kwa magrit thinkers ila naamini wapo wenye matatizo kama yangu wameyaficha wanaogopa aibu kwa wana jf ok natatua nikishindwa ndo hivyo tena

Wewe hujajinyonga unasubiri nini?
 
watu mna hamu jamaa ajinyonge
duh huko aliko nafikiri akisoma hizi post hapa naona anacheka mwenyewe na hata hiyo hamu ya kujinyonga haipo tena

Umeona na wewe???

Jamaa kawaacha watu solemba.......Halafu unajua nini...watu wa namna hii hutashangaa kukuta wadada wamejipanga mstari kwake kila mmoja anataka kujisevia kwa wakati wake!!

Naona tangazo lake limewafikia wengi na impact yake haitakuwa ndogo....!!!
 
Nakutaman bana wengine hatuna hata mimba hiyo..Nisingizie mimi..Ni PM.
 
Siamini kama naweza kupata majibu kama haya kwa magrit thinkers ila naamini wapo wenye matatizo kama yangu wameyaficha wanaogopa aibu kwa wana jf ok natatua nikishindwa ndo hivyo tena

Wewe umeonyesha madhaifu yako kwa kutaka kukimbia matatizo
Umeshamfikiria huyo mtoto atayezaliwa akutane na swala kwamba hana baba
eti baba yake alijinyonga kwa kuogopa kuzaliwa kwake
we jiandae kumpokea huyo kiumbe na jifunze kumpenda huyu dada sasa maana ndio atakuwa mke wako acha kukimbia majukumu
 
hehehe huyu alitegemea vidada vya JF vitambembeleza asijinyonge, kumbe vidada vyenyewe vya JF vimedata kama waume zao! ndo kwanza vinafagilia jamaa ajinyonge. Dah! imekula kwa mleta sredi aisee!
 
Back
Top Bottom