Hahaha mimi nina mashaka kwa kweli. Kwanza huo ujasiri wa kuandika hapa unatoka wapi? Jamani mke anauma nyie..Uandishi huu
akili yangu inakataa kabisa Kama mtoa mada Yuko serious kachapiwa au anatuzingua
Hii ya leo chai bila majani kabisa.Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee
Juzi wakati narudi kutoka Congo 🇨🇩 nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Kazia na hii kabisa mkuu[emoji23]ila we jamaa hauko serious, tena umeona kwa macho yako khaaa, hii itakua chai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa mpuuzi sana. Chai yako imekosa sukari tu. Ila ulishindwaje kumpa za mtoto wa bob junior? [emoji116]Mke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee
Juzi wakati narudi kutoka Congo [emoji1078] nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Huyo mzoa taka nenda kamchapie mama yake itapendeza sanaMke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee
Juzi wakati narudi kutoka Congo [emoji1078] nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Hakuna sehemu imeniuaa kama"alipolia nkalia nae"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41]
ChaiMke wangu amechapwa na mzoa taka ama hakika nimeumia sana ila siwezi kumuacha huyu mke wangu kwa sababu namoenda sana ila ameniomba msamaha Amelia sana mpaka nimemuonea huruma sana mpaka na mimi nikaamua kulia nae
Mimi nafanya kazi ya kuendesha magari makubwa ya kwenda Congo kupeleka mizigo mke wangu huwa anabakia nyumbani nyumba yangu si haba ni bonge la nyumba aisee katika mtaani wangu nyumba yangu ndiyo ya kueleweka kuliko nyumba zingine aisee
Juzi wakati narudi kutoka Congo 🇨🇩 nilikuwa nampigia simu mke wangu kila nikimpigia hapokei nikasema sio kitu nikaingia nyumbani kimya kimya kufungua geti nikakuta na vifaa vya mzoa taka nikasema labda yupo anakunywa chai kwa sababu ndiyo kawaida yangu kuwakirimu Wageni wakuu baada ya kuingia ndani daaa asalaleleeee looooh mzoa taka yupo juuu ya kifua cha mke wangu akipeleka moto na mke wangu akigugumia kwa raha tu nikazimia baada ya kuzinduka nikajikuta nipo hospitali sina hili wala lile! Duuuuh
Malaya achungiki hata apelekewe moto usiku kucha lazima atarukaruka.Si tulikubaliana wanawake wanaokaa nyumbani ndo waaminifu😂 huwa hamuamini hadi yawatokee.