Nimecheka kwenye hii video mpalestina alivyofurahi Waisrael kuvamiwa na sasa analia

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Tarehe 07/10 huyu mwarabu mpalestina alishangilia Allah Akbar Allah Akbar maroketi yalivyokuwa yakirushwa Israel na kupeleka vifo, majerehi na kutekwa kwa wateule.

Your browser is not able to display this video.


Allah is nowhere to be seen kala kona.
Your browser is not able to display this video.
 
Jamaa alidhani yale makombora ni burudani ya maonyesho, sasa yamemkuta amebakia kulia lia tu. Vita haijawahi kuwa njema.
 
Hamasi hatokaa asahau. Israel wakiamua jambo lao Dunia inasimama ndio maana Manaz wa Germany todate hawatamani kujulikana kwa kile Israel aliwafanya.
 
Huyo jamaa huwa ana act, kuna sehemu ana act kama yupo mahututi baada ya kichapo cha Israel. Nia yake Israel waonekane wanyama sana.
 

Kwamba wewe unacheka wakati umati mkubwa kama huu ukiandamana kwingine ulaya huko kulaani?



Wala hujishangai?

Kumbe una nini cha mno ndugu kuliko umati wote huu?
 
Jamaa mnafiki

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.​

 
Dah kumbe wavaa kobasi ndio wanalia kijinga hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ allah kakimbia kaona huu msala malizaneni wenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi clip kila nikizitizama nacheka mwenyewe. Naanza na hiyo ya Allah akbar, halaf nafuatia hiyo ya kilio.

Kajamaa sijui kalidhani hali itaendelea hivyo tu bila kupokea upinzani wowote! Kanawakilisha watu wengi sana wajinga waliojaa upande ule. Wao huwa hawaifikirii kesho, wana vichwa vya kuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba wewe unacheka wakati umati mkubwa kama huu ukiandamana kwingine ulaya huko kulaani?

View attachment 2798521

Wala hujishangai?

Kumbe una nini cha mno ndugu kuliko umati wote huu?
Kwenye msafara wa mamba kenge wamo, usikute 0.0001% ya wanaoandamana hapo hakuna mkweli zaidi ya unafki tu kwa mwonekano wa nnje ila rohoni ni shangwe, nderemo na vifijo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…