Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Hamasi hatokaa asahau. Israel wakiamua jambo lao Dunia inasimama ndio maana Manaz wa Germany todate hawatamani kujulikana kwa kile Israel aliwafanya.
Mkuu Wayahudi walimfanya nini Hitler na Nazi yake?